Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,765
Hili nimeliona na kulifanyia utafiti kidogo. Inafika wakati ukimwona mtu mzima mke au mume miaka kuanzia 50 ana pete unashangaa kiasi. Wanaona noma au wamepoteza au wamepiga bei? Tufahamishane katika hili

si watu wote imani zao zina ruhusu uvaaji wa pete....
ni waislam nini?
- wewe unaivaa?
- na kama umeshafikisha umri wa kuoa/kuolewa kwa nini hujaoa au kuolewa?
ni waislam nini?
kuoa au kuolewa sio ishu kubwa kubwa/ishu ni kwa nini hawavai pete................................- wewe unaivaa?
- na kama umeshafikisha umri wa kuoa/kuolewa kwa nini hujaoa au kuolewa?
kuoa au kuolewa sio ishu kubwa kubwa/ishu ni kwa nini hawavai pete................................