Watu wazima wanapotaniana..!

Me good, and you?

Well, i saw somewhere you were crying for a ride. Uhm, well i think u can convince Me .

Lol!

Tutoke kwenye uzi wa watu mama.

Okay hapa tunatoka, kisha tuelekee wapi?

Mbona hutoi muongozo..!!

Aahahahahahaaa Mie ni mlevi wa magari aiseeh, baada ya Mahaba magari yanashika hatamu, ukinipa gari niendeshe wuuhuuu ntakufurahia.

Do want to offer me a ride, thank you waiting for the pick up point.
 
Haha
I know - i know

I'll be waiting for you , hapi mtaa wa juu "PM street"

Btw. Chse one, nikufuate na X5,Beemer, Benz au lexus?
 
Aahahahahhaaa Utasababisha mashindano sasa..... usingetaja aina ya usafiri.
Kuna wadada watakuganda na wao wafwate, na kuna wakaka watanifata na private jet wakinishawishi niachane na magari niwe napiga mbwembwe angani aahahahahahaa.

Jokes aside i prefer Benz 😋.
 
Haha, wamechelewa!

I know your 'taste'

I hope umeniona nimepark hapo, fungua tu mlango ingia ndani . ;))
 
Back
Top Bottom