Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
Unafaa upigwe ban kwa uzushi we kijana mdogo.Huyo mzee ndo Salary Slip kama mnabisha muulizeni Maxence Melo
Sory mkuu hapo melo ndio yupiUzi wa Melo mkali sana,unapatikana wapi huo?
Yupo bwana tena ni huyo mwenye umri mdogo. Melo nimeijua picha yake baada ya serikali kumweka kwenye trend kwa kumpa kesi zisizokuwa na maana kwenye kizazi cha leoHayupo kwenye picha
Bro sasa we ni nani?Unafaa upigwe ban kwa uzushi we kijana mdogo.
😂😂😂😂
Haha haa...Ngoja nimtag mwenye id yake kigogo warioba
N huyo aliyevaa dera jekundu