Nilidhani niko peke yangu, kumbe tu wengi hivi! Naona nasi inabidi tuanzishe umoja wetu ili tuwe tunachangiana kununua pampasi.
Kwani na wewe kikojozi? Membership ni kwa vikojozi peke yake.naomba mimi na wewe tuanzishe vugu vugu hilo.... watu laki 8 vikojozi...!
Hilo litakuwa bonge la NGO, na wafadhili lazima wamwage mihela na misaada mingine ya kitabibu na hapo ndo tutasema umasikini kwaheri....LOL
mijitu kama hii unavalisha gunia la sandarusi...pampasi muhimu kumbe...teh teh..
Looh!!
Me nilidhani ni ule mkojo utokao baada ya kufanya tendo la ndoa.
Looh!!
Me nilidhani ni ule mkojo utokao baada ya kufanya tendo la ndoa.