Watu wazima, tuachane na mambo ya kitoto kwenye digital platforms

Watu wazima, tuachane na mambo ya kitoto kwenye digital platforms

Sasa mi nadhani Kila mtu awe bize kumrekebisha watoto wake maana jamii imeshaharibika kwa kiasi kikubwa.
Kabisa kiongozi tukiwaacha hawa watoto wapelekwe na 'UPEPO' watapotea pakubwa mno na mwisho wa siku inakuwa ni hasara kwa familia mkuu.
 
Kwani mnawalipia bando au mmekosa kazi ya kufanya?
 
Kama ni jambo linampa furaha muache afurahie kwa hicho kidogo kimpacho furaha.

Yeye anapenda attention na anaipata akipost na ninyi kucoment eidha vibaya au vizuri kwake ni burudani.
 
Hamna jambo napata nalo tabu kama kutupa picha yangu Facebook, Instagram na mitandao mingine. Ok nikishatuma ndio faida ni like na u look good, umependeza nk nk. Sasa hapo faida ni nini. Lamda wasanii Kuna namna wanafaidi lakini kwangu Mimi sipo tayr kujibu meseji za umependeza, u look good na takatka nyingine
 
Inaleta ukakasi baadae kwa njia moja au nyingine kiongozi.
 
Back
Top Bottom