NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Unajua bwana...!
Kila jambo lina muda wake na kila jambo lina wakati wake. Unaweza ukajiuliza wakati ni nini na muda ni nini, natumai unaweza ukajijibu mwenyewe, ila kama utashindwa kujijibu itabidi ujiulize mara mbili kuweza kupata JIBU sahihi, unaweza ukapata JIBU lakini lisiwe JIBU sahihi.
Kuna mambo tulikuwa tunakutana nayo pindi tukiwa wadogo mpaka hapo ulipofikia. Mengine tunaendelea nayo mengine tunaachana nayo au hata tusipoachana nayo ila tunatakiwa kuachana nayo, tunaachana nayo kivipi...? Mi sijui. Kila mtu anatumia njia yake ya kuachana nayo, kiufupi njia huwa zinatofautiana.
Kwa mfano, wakati tunakuwa tulikutana na mchezo kama goroli, kidali poo, kucheza mpira, video games n.k. Ila kuna mengine tumeachana nayo na wengine bado wanaendelea nayo, SAWA.
Ila kwa watu wazima ambao wamekutana na hizi Digital Platforms, trendings etc 'UKUBWANI' ; sio kila Digital Platform au Trending lazma nawe U-Trend, HAPANA. Kuna mambo ya 'MSINGI' na mengine sio ya 'MSINGI' kuweza kuweka kwenye Digital Platforms. Ku-trend au kuwepo kwenye Digital Platforms sio kitu kibaya, ila ubaya unakuja kwenye 'KUANIKA' Maisha yetu binafsi, hii sio njia 'SAHIHI' ya Ku-Trend, Coz kuna watu wengi tu wana-trend, lakini huwezi kukuta popote wameweka maisha yao binafsi kwenye Digital Platforms. Kuna watu kama Maxence Mello, Millard Ayo et al, wapo On Trending bila ya kujiharibia 'REPUTATIONS' zao kisa 'TRENDING', yote hii ni kwa sababu wamejua kwenda na 'UPEPO', Kwenda na 'UPEPO' sio kufanya au ku-deal na kila kitu kwenye Digital Platforms. Mwisho wa siku mtu unajikuta unaua 'BRAND' yako au unaua mpaka Biashara za watu waliokupa 'DEALS' za matangazo, lakini pia unajiua na wewe mwenyewe coz watu watakosa 'UAMINIFU' wa kujitoa kwako na kukupa KAZI zao kwa niaba ya...!. Lakini pia hata wale waliokwishakupa 'KAZI' zao itafanya uwapunguzie wateja kwa sababu ya kuchafua jina lako kutokana tu, na kutaka 'KU-TREND'.
Ni aibu sana kama 'MTU MZIMA' kuaibishwa na vitu ambavyo sio vya msingi na kuacha vitu vya msingi vikikutazama. Nini tufanye kama watu wazima...?.
Tuachane na mambo ya 'KISASA' sio 'GARI' wala 'NYUMBA'. Sio 'TRENDING' wala sio 'NINI', tujaribu sana 'KU-FOCUS' kwenye Maisha yetu na kipi tunachotakiwa kukifanya kama watu wazima.
Ya watoto tuwaachie watoto. Kikubwa tuwasilishe tulichonacho kama wakubwa ili watoto wachukue kutoka kwetu kama 'WAKUBWA'. Tunawafunza nini watoto/wadogo zetu...?
Mitandao tuitumie vizuri kama watu wazima, kuna mambo mengi tu ya kufanya kwenye Mitandao na Digital Platforms. Sio mambo yasiyo na msingi wakuu.
YA MUNGU TUMPE MUNGU. YA KAIZARI TUMUACHIE KAIZARI.
YA NGOSWE TUMUACHIE NGOSWE.
NIWATAKIE MAISHA MEMA WAKUU.
AHSANTENI.