Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Wewe mwanaume, vijana wa siku hizi mpoje ? Mbona hamna staha na hamjui kujificha,

Majibu yako tu na utu uzima wangu najua wewe ni mtu wa aina gani. Acha kutusumbua. Tuache kuhangaika na wakina karunde, faiza na coco tuje kwenu vijana wakiume? Mbona mnakuwa siyo wastaarabu kwanini jf mnaichafua

Jifunzeni kuishi kwa adabu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom