Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Mimi kitu kimoja nachojua kwenye mwandiko wako ni kutokuwepo herufi kubwa.
Basi.
hahaha hivi eh?
Mimi kitu kimoja nachojua kwenye mwandiko wako ni kutokuwepo herufi kubwa.
Basi.
hahaha hivi eh?
imani inatumiwa kudanganyana wadanganyaji, ukiwa straight unapata vitu straight Biz ni Biz tu aina lugha nyingine.😂😂😂😂kila kitu ni imani tu
Wapuuze tu vijana!nanabooty ukifanikiwa kumpata huyo mshefa aisee inabid unipe ht mtotko na bwana shemej..[emoji23][emoji23]sio kwakubebeshwa msalaba wako mm aisee
Hivi humu kuna wa umri huo. KweliSitaki vijana nyie adabu sifuri..hamkawii kuchkua video kuachia mtandaon...nataka kula sahan moja na wazee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuze tu vijana!
Point inarudi palepale vijana uwezo wao wa kupambanua mambo n mdogo..mm nna IQ kubwa
Ndo mana nataka wazee.
Ntakupa mtoko manengelo sio kwa tuhuma izo za uongo wanazokupa
Sent using Jamii Forums mobile app
...ww ndo waniambia hapa..so sina capital letter kbsYaani kwenye posts 10 unaweza kuta ni 1 au hakuna.
Nanatako iyo vepeeeee!!!Nanatako na Manengelo kuweni na huruma jamani,nimejikuna mpaka mwisho wa mgongo wangu lakini wapi, itabidi niongeze bidii au nijinyonge ndio mnielewe.
😁Shoga kaokota dodo uyo....daah bado mim naona dodo lipo njiani
Nishachoka kusumbuana na vijana,..hela hawana na kunijaza stress tu na wakati mtoto watu mashalaah ,ila stress hadi mtu sura inajikunja..
Ctaki kiwackia vijana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umefurahi..[emoji16]
Mkuu vipi?Naona umefurahi..
Nasubiria dodo apa chin ya mnazi..likitua tu nalidaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata wengi npo katka interview nao ili mmoja aibuke kinara na mmilikiMkuu vipi?
Bado bilabila?
Kwa jinsi unavyohustle toka jana natamani nikupigie pande hata kwa mshua wangu!
Hongera sana MkuuNimepata wengi npo katka interview nao ili mmoja aibuke kinara na mmiliki
Sent using Jamii Forums mobile app