Ndogo a.k.a Jicho a.k.a 0713 .....
Makubwa hayoUkisikia wale ambao mpaka magari hununuliwa unafikiri yanakuja tu? Lazima unye
Sasa uliposema upo tayari kwa kila kitu ulimaanisha nini?
Uzi wa wazee huu..vijana hawatouelew kabsaHapa Dar unazpotoa kauli kama hiyo vijana wao wanafahamu kwenyewe kunyiwa tu
Sio dharau nawaambia ukweli hawana elaAcha Zarau hizo, Ukishapata hizo hela halafu bado utawatafuta haohao wakuzibue
Sio kila mtu anapewa hizo hela. Weka picha zako tukuone kama kweli wakupewa au wakupitwa
Nataka ready made mimiMkuu unatafuta bifu na wamama .Tengeneza kazee chako
Wapo wanaonielewa hadi hawajielewiBasi humuibii mtu hapa. Mana hamna atakae kubali kuuziwa mbuzi kwa mlio