kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,874
Ha ha nini unastuka labda watu wamekuzoom
Sent using Jamii Forums mobile app
nan kakuambia nipo moro
Sent using Jamii Forums mobile app
nan kakuambia nipo moro
Huyu anataka apate wazee 10 awapangie ratiba iwe ndo ajira yake. Wamlishe, wamjengee na wampe Good time including gari.
Huyu ni ibilisi wa ndoa hai na zinazosuasua.
Mungu akupige pigo la sodoma na Gomora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapatakwa awamu hii hao watu huwapati wengi wametulia na ndoa zao..
Mkuu una makengeza!? Ushaambiwa anatoa yote (Push to Start) kazi kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najifikiria kwanza tushaambiwa hivo sana
Mwisho wa siku yale yale
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa awamu hii hao watu huwapati wengi wametulia na ndoa zao..
Wapo mbonakwa awamu hii hao watu huwapati wengi wametulia na ndoa zao..
sipo moro mm...ht mkinizoom mnanipa kula?
peace
Hahaaa acha zako wewe,kukata tamaa na kokosa siyo asili yangu nikitaka kitu ntakipata tu hata kwa maombi hakuna linaloshindikana ni suala la muda tu.
Hasa Kama hauna utafanyaje,kiubishiubishi tunatumia holy spirit,na kusingizia pesa ni shetani.😂😂😂maombi wenzako wanatumia power of money😂
Hasa Kama hauna utafanyaje,kiubishiubishi tunatumia holy spirit,na kusingizia pesa ni shetani.
nanabooty ukifanikiwa kumpata huyo mshefa aisee inabid unipe ht mtotko na bwana shemej..😂😂sio kwakubebeshwa msalaba wako mm aisee