Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

mie ht nizeeke vip sitatafuta men humu maana hao wabarabaran ni wengi balaa...sijui kufake mm ww..mwangalie nana ..neno "hiyo"anaandika "iyo"..mie sinaga uandishi wa hvyo aisee ukiona nmeandika hvyo ujue nazunga tena naweka na " ", msinichoshe mie
haya mambo tuyamalize vizuri siyo kienyeji enyeji tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ( in lissu's tone)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Na katika siku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha..." na hapo ndipo mwana wa Adamu atakuwa yu karibu kurudi kuuhukumu ulimwengu akiwa katika kiti cha hukumu..." [emoji288][emoji288]
Kwa kifupi Babu unayechungulia pesa naomba usinijazie pm

Mim sio wa vilaki 3 au tano

Ujipange tafadhali kama uzi unavyosema

Kizuri gharama

Slope kwangu hakuna

Na nyie vijana mnaokuja kunibeeb pm tafadhalini tuheshimianeni ..katafuteni vigoli uko barabarani
Mikato yangu si ya kitoto

Nakaribisha mababa wanaojielewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani unakosea sana kuniita Stupid! Mi nimechangia tu kwa nia njema na hakuna sehemu nilipokomalia ni wewe zaidi ya kufananisha uandishi!

Na hakuna sehemu nimewahusisha hao uliowataja na mleta mada!


nimekuita hvyo kwasababu akili zko hazijakutosha...mie nitafte men humu kwa uzito gan kwanza
 
Back
Top Bottom