Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Huyu kaingia Feb. Nadhani kuna mtu kamdanganya kuwa JF ni sawa na FB hajui atakutana na vichwa pamoma na wenda wazimu humu.

Wewe mtoto nenda FB tangaza huko au Insta utapata kesho tu humu utaambulia matusi tu. Wazee wa humu tunajitambua saana zaidi ni Siasa, maendeleo ya dunia na maisha kwa ujumla. Mambo ya sex ni wale watoto wanaoshinda humu wanachart utafikili wapo FB. Bye.
 
Mbona wapo wengi tu...wew tu huwaoni..ninauhakika na ninachokifanya sijadanganywa..atakayeleta wendawazmu na m namletea wendawazmu...nafkr kla mty yupo huru kupost atakacho ndo mana likawekwa jukwaa mahusiano...

Kuhusu kujitambua usijidanganye mwanaume ata ajitambue vip lazma ahitaji sex..ndo mana waume wanatoka ata nje ya ndoa
Huyu kaingia Feb. Nadhani kuna mtu kamdanganya kuwa JF ni sawa na FB hajui atakutana na vichwa pamoma na wenda wazimu humu.

Wewe mtoto nenda FB tangaza huko au Insta utapata kesho tu humu utaambulia matusi tu. Wazee wa humu tunajitambua saana zaidi ni Siasa, maendeleo ya dunia na maisha kwa ujumla. Mambo ya sex ni wale watoto wanaoshinda humu wanachart utafikili wapo FB. Bye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unajua nin na nn? Huwez kujua vyote kna ambavyo vimekupita enz zenu havikuwepo
Kwa maelezo yako huyo wa 50 plus kakuzidi umri, sasa hayo mambo utakayompa ambayo hajawahi kuyaona katika umri huo sijuwi yapi hayo. Labda itawahusu wa mkoani sie wa mjini tushayaona mpaka tutakayofikisha nayo miaka90..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamujambo wanajf!
Nielekee kwenye point direkiti.

Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu.

Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa mwenye pesa zake ,

Mwenye kupenda kujiachia kias ili tuweze kula raha baada ya kazii,mcha mungu kiasi.

Awe na mke au asiwenaye bali tuwe na privacy yetu bila kumvunjia ndoa yke..

Anidekeze nami nimdekeze

Ajue kulea na kuhudumia sitaki bahiri ..na anisaport mtaji katika busness plan zangu

Huduma nitakazompatia cku zote ni kama

Ntakuwa liwazo na tulizo la moyo wake mda atakaonihitaji..

Ntammassage kuanzia kichwan hadi miguu na mikono yng lain

Ntampa mambo matamu yte ya dunia hii hadi akinai hasa ya chumbani,

Ntamfanya afurahi muda wote

Ill be around whenever he need me ..ntakuwepo muda wote atakaonihitaji

Akiwa na muda ningependa tusafiri ata nje ya nchi kwamambo mbalimbali

Kama yupo mkoa nipo tayari kumtembelea mara kwa mara

La mwisho mm ni ke 29 - 32yrs
Mwenye kababy face kazuri kenye aibu za kutosha, mpole usoni ila chumban sina upele

Vijana mtanisamehe sana sina nafasi kwenu na sitajisumbua nanyi

Nahitaji wazee tu..

Matusi sitaki katika uzi wangu.

NAKARIBISHA PM KWA BABAZ 58YRS UPWARD..ata ukija na fekero account sawa ila ukidhi mahitaji na vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wizi in a broad day light! Kuna mtu atapukutishwa kikokotoo muda si mrefu!Phew!!
 
Thanks sitaki kutukana nimetenda madhambi sana hii weekend ,leo Jumapili na sasa hivi ni saa kumi na mbili asubuhi,saa tano naenda church kumpraise JAH,stay blessed dear na kila la kheri kwa unachokitafuta.
Niombee na mm nsamehewe dhambi ya kutukana ...kwa wote nliowatukana asubuhi hii uko church

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifikirie hatima yako itakuaje, aya ukampata huyo mme wa mtu, maana 58+ sidhani kama kuna ambaye bado ni single. Wewe hatima yako itakuwaje. Kaa chini tafakari acha ujinga, umri wako unazidi kusogea na bado hauna mipango yoyote, kilichoujaza moyo wako ni kudanga. Acha ujinga, ushauri wa bure huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatima ipi unayoizungumzia? Si kila mtu amendikiwa ndoa kipenzi..
Ata kwenye vitabu wapo baadhi ya watu hawana ndoa.
But nashukur nina mtoto so inatosha na nafikir nitakuwa na watoto zaid

Wangap wapo katka ndoa lakin moto wake they wish to be cngle and free.. Hawana amani kabsa!

Au hatima unayozungumzia ww n ipi

Maisha mafupi jitaid kufurahi kadiri uwezavyo bila kumridhisha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom