Hivi Miji ya Wenzetu huko ni Wazembe Kiasi hicho Mpaka Muda Huo Hawajaamka Hata... halafu Wanatupita Sie ambao Sa 10 foleni zishaanzaUkisoma picha vizuri utagundua ni alfajiri kabla watu hawajaamka. Kilichotokea usiku wa jana nani anajua, labda hata wenyewe hawakumbuki.
Wendawazimu ndo ugonjwa mkubwa zaidi duniani