WATU WASIOPENDA MAENDELEO YA WENGINE

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Jul 17, 2016
4,925
14,285
Habari wana chit-chat
Lejea Mada tajwa hapo juu ningependa tuwe na zile chit-chat ambazo zinaleta tija katika jamii namaana tunapo tambuana kimahusiano kule love connect au vichekesho vya hapa na pale kuondoa stress ngoja tuwajue wale wasiopenda wenzao wazee wa viroho gubu ...... karibuuu

wivu
~consetration yakufanya kitu chochote kile lazima matokeo yake huja kuwa chanya na mala nyingi huwa na mafanikio makubwa ... katika maisha tunayoishi kuna wivu wa aina mbili
(¡)wivu wa fitina
Wivu huu humfanya mtu kuwa mvivu na kufitini maisha ya wengine unakufanya kuwa "lazy" yaani mvivu kupundukia kazi hufanyi ila anayefanya kazi akifanikiwa unaibua vikwazo ili tu ashindwe kwenda mbele nawewe uzidi kuwa ivo ivo huu naweza kuuita ni ugonjwa ambao "ubongo umezoea kufikiria kuwa kila aliyefanikiwa basi labda anatumia nguvu za giza au njia nyingine zisizo salama wakati ni juhudi zake binafsi kwaiyo ubongo hautaratibu kazi na kuufanya usifikirie nje ya box"

(¡¡)wivu wa maendeleo
Wivu huu ni wivu naweza kusema kila mtu anapaswa kuwa na wivu kama huu ni wivu wenye kuleta chachu ya maendeleo chanya katika jamii yoyote au kijiji/kitongoji wakipatikana watu watatu ambao wanawivu wamaendeleo katika jamii baina yao basi nusu ya kitongoji kama sio chote kitahamasika na kuwa na maendeleo ukilinganisha na wivu wa fitina ambao ndani una wizi,uvivu ,fitina ambayo ukiwa navyo kamwe huwezi kuendelea mbele .....

N.b !!njia pekee yakuondokana na wivu wa fitina ni kufata yako nakuachana na ya wengine
 
anya mambo yako kivyakovyako mkuu, unafki, wivu na fitina wewe vifumbie macho...
kwa kawaida mtu anaekufatilia na kukuletea roho mbaya ujue huyo ndio fani wako mkubwa
Kwelii make kuna kadem mmu hakanipendi afu post zangu kana-like kila mda
 
Back
Top Bottom