Watu wasiojulikana wanaifuata gari yangu

Watu wasiojulikana wanaifuata gari yangu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,087
Reaction score
34,885
WATU WASIOJULIKANA.jpg

Mmmh hii gari mbona km NISSAN halafu ni nyeupe na nimeiona muda mrefu inanifuatilia, jamani dua zenu ni muhimu kwangu ili nibaki salama mimi
 
Piga kona kama zile za kwenye Racing show mkuu, au una leseni feki.. Kanyama mafuta.
 
Una wasiwasi kwani umefanya nini?
 
Mambo ya lisu hayo.
ila hali hyo inatisha na kuogopesha sana.MTU uliyekuwa kwenye gari la mbele.
ALAFU UWE UPANDE WA UPINZANI.
 
Wana tabia mbaya sana.kuna jamaa yao mmoja aliua mwenzao
Walichofanya yule jamaa yao walimbaka kufika mahakamani hawezi kukaa
Ilitokea enzi za JK
 
Ungeipost jukwaa la jokes/utani ningekuelewa zaidi.
Samahani kama nilikukwaza
Nilisahau kabisa kuwa ningeliweka kwenye Jukwaa la Utani na Joke hii Thread, umenikumbusha sana labda nimwambie Moderator aitowe hapa hii Thread yangu na aiweke kwenye jukwaa la Joke na utani? Unasemaje?
 
Litakua jambo la busara kuepusha watu kupata wasiwasi juu ya maisha yako. East Africa is no longer safe
 
Back
Top Bottom