Mkuu kweli wewe ni mtu wa habari, big up sanaHii habari imetokea huko Ghana siku ya jana.
Mkuu kweli wewe ni mtu wa habari, big up sana
Wewe ndiye mleta habari sio?Nami nasubiri nione
Unaleta habari ambayo hutowi maelezo ya kina kuhusu taarifa yenyewe. Tumeona picha na watu wakishangaa je imetokea wapi? Lini?Ndio, ni mimi. Lengo lako lipi?
Unasema??glory to be God
Unasema??
Unaleta habari ambayo hutowi maelezo ya kina kuhusu taarifa yenyewe. Tumeona picha na watu wakishangaa je imetokea wapi? Lini?
Au kila mtu anaweza kuota kuwa ajali hiyo imetokea huko unapokujua?