Watu Wanene wanakula sana kuliko watu Wembamba, Why?

Watu Wanene wanakula sana kuliko watu Wembamba, Why?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Huu ni ukweli usiopingika kuwa watu wanene vibonge wanakula sana kuliko watu wembamba, breakfast ya mtu mnene(maziwa,matunda,juice,mkate,kitumbua,mayai 3,soseji,pizza,maji lita moja,chapati ya maji, samaki nusu) hii ni lunch ya mtu mwembamba.

Hivi wakuu ni theory gani inakua applied hapa? kama una jamaa yako mnene fuatilia halafu uje hapa utujulishe sawa.
 
sio kweli,mdogo wangu nimwembaba anakula mpaka nashanga,na chembamba mpaka tunamuita Fido..
 
kuna watu wembabmba wanakula mno lakini ni asili yao.. ukiona mwembamba abajibana kula ujue wembamba wake wa kutafuta.. watu wanene hata utumbo wao mkubwa ndiyo maana wanakula sana... iala pia kuna wanenen amabo hawali sana jpo ni 1 kati ya mia
 
Ivi unajua kwa nin nagari madogo yana tumia petrol na makubwa diesel?@Lusekelo sakafu
 
Akuna kitu kama hicho, kula kunatofautiana watu wembamba upenda kula kula kwa wakati mmoja na Wa nene hula kidogo kidogo
 
hiyo breakfast si mpaka awe na hela, tatizo lako hujakutana na mnene asie na hela mbona wanashindia vipande viwili vya muogo
 
huu ni ukweli usiopingika kuwa watu wanene VIBONGE wanakula sana kuliko watu wembamba, breakfast ya mtu mnene(maziwa,matunda,juice,mkate,kitumbua,mayai 3,soseji,pizza,maji lita moja,chapati ya maji, samaki nusu) hii ni lunch ya mtu mwembamba. Hivi wakuu ni theory gani inakua applied hapa? kama una jamaa yako mnene fuatilia halafu uje hapa utujulishe sawa.

mkuu hata VX V8 inakula mafuta kuliko VITS.....mahitaji ya mwili yanaendana na ukubwa wa mwili na/au shughuli zake!! Floyd Maywether ni mwembamba kuliko vibonge wengi uwajuao ila anakula kuwazidi hao vibonge.
 
hiyo sio kweli...sio wanene wote wanaokula sana, wengne wanakula wastani tu,na ndio walivyo sio kwamba ni diet
 
Oh!. Kwa hiyo appetite na mahitaji ya chakula mwilini yanategemea ukubwa wa utumbo. This sounds interesting!.

kuna watu wembabmba wanakula mno lakini ni asili yao.. ukiona mwembamba abajibana kula ujue wembamba wake wa kutafuta.. watu wanene hata utumbo wao mkubwa ndiyo maana wanakula sana... iala pia kuna wanenen amabo hawali sana jpo ni 1 kati ya mia
 
Hata magari Vitz haiwezi kulingana ulaji mafuta na Fuso
 
Duh! Muogope mtu mwembamba halaf ukute anakula taratibu. Ni sawa na kupanga mafaili ktk shelves maana anavyopangilia utakimbia.
 
Huu ni ukweli usiopingika kuwa watu wanene vibonge wanakula sana kuliko watu wembamba, breakfast ya mtu mnene(maziwa,matunda,juice,mkate,kitumbua,mayai 3,soseji,pizza,maji lita moja,chapati ya maji, samaki nusu) hii ni lunch ya mtu mwembamba.

Hivi wakuu ni theory gani inakua applied hapa? kama una jamaa yako mnene fuatilia halafu uje hapa utujulishe sawa.

Idadi ya seli za mtu mnene ni nyingi kuliko mtu mwembamba.wingi wa seli unampelekea mtu kula sana kwa sababu kila seli inahitaji virutubisho vya chakula ili iweze kufanya kazi yake vizuri.

Kiasi cha chakula anachokula mtu kinategemeana na sababu zifuatazo.
1.UKUBWA WA MWILI.Mtoto hawezi kula sawa na mkubwa,vile vile mwembamba na mnene hivyohivyo.
2.AINA YA KAZI.fundi wa gereji hawezi kula kiasi sawa cha chakula na funding cherehani.
3.Taja na wewe sababu zingine
 
Back
Top Bottom