Watu wanene (mabonge) ni kero ktk usafiri wa umma

Kiukweli sasa itabidi tuwachane tu hakuna namna. Jitu limefumuka kiasi kwamba siti ya watu wawili hamtoshi!! Leo Nimekereka sana kiukweli.

Yaan mtu anakubana kuanzia mwanzo wa safari mpka mwisho , huu upuuzi kama mmeshindwa kufanya mazoezi kuondoa hiyo minyama msitumie usafiri wa wa watu wengi. Nunueni magari yenu au bakini nyumbani tu ili kuepusha hizi kero mnazotupa wengine.

Hivi kwanini mtu unanepa mpka kufikia hatua ya kuwa kero kwa watu wengine ? Hivi mnakuwa hamjioni mpaka kufikia hatua hiyo ?
Tutaenda wapi sasa?😂😂😂

Kuna siku nimetoka Kanisani jioni mida ya saa1 na nusu.
Bajaj zinaita abiria Goba Mbezi Goba Mbezi..
Nilikuwa nimeongozana na Mama fulani bonge,Alikuwa mbele yangu.
Tulipokaribia ile bajaj wote tukauliza Mbezi?
Dereva akamkatalia yule Mama ,akaniita mimi.

Ilikuwa imebaki siti ya mbele tu..Akasema hataki kubanwa kizembe.
 
Stop fat shaming!
Wanene wengine ndivyo walivyoumbwa kama sisi ambao ni mwili wa wastani by nature, kwa hiyo hata wakifanya mazoezi ya kupungua uzito wananenepa kirahisi mno. Ukishajua upo duniani jifunze kuvumiliana na kila mtu kwa sababu hata wewe una kero zako ambazo watu wanakuvumilia.
Best comment.!
 
mleta mada kama ww ni mwanaume bas ukae ukijua huna hadhi tena ya kuwa mwanaume.
Unaanzaje kulalamika wakati ni usafiri wa uma ulilazimishwa upande?
Ulilazimishwa kukaa na kibonge?
Nyie ndo wale nkiteleza kidogo mnakua mashoga haiwezekani mwanaume unakuja lalamika huku jf kisa maumbile ya mtu.
Ukiona huwez kuvumilia kero za wenzako ambazo hazisababishwi makusudi kaza tako ununue gari au usafiri wako binafsi wanaume hatulalamiki tunafanya njia mbadala kununua usafiri au kupiga kimya kwakua hujapungukiwa japo umebanwa na kibonge
 
kina gari moja konda alimkataa bonge eti anachukua siti mbili haikufika mbali ikapata pancha
 
Mwambaa eee unazingua na Uzi wako wakifala .....
Ungekuwa wew mnene afu umsikie mjinga mmoja analalamika humu. Ungataman umefanyeje?
Muwe mnafkria kabla ya kutenda kama vip nunua v8 lako safir nalo mikoani mwenyw shida Nini? Kwani
 
Back
Top Bottom