Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,924
- 3,951
Kiukweli sasa itabidi tuwachane tu hakuna namna. Jitu limefumuka kiasi kwamba siti ya watu wawili hamtoshi!! Leo Nimekereka sana kiukweli.
Yaan mtu anakubana kuanzia mwanzo wa safari mpka mwisho , huu upuuzi kama mmeshindwa kufanya mazoezi kuondoa hiyo minyama msitumie usafiri wa wa watu wengi. Nunueni magari yenu au bakini nyumbani tu ili kuepusha hizi kero mnazotupa wengine.
Hivi kwanini mtu unanepa mpka kufikia hatua ya kuwa kero kwa watu wengine ? Hivi mnakuwa hamjioni mpaka kufikia hatua hiyo ?