SPIN DOCTOR
Member
- Aug 18, 2016
- 20
- 10
Hivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao.
Je, kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa kwenye hizi state pension funds.