Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,046
Umesema kweli tupu. Binadamu tumeumbwa kila mtu na dizaini yake. Sijui walitaka abaki mpweke hadi lini. Was kazi kwakweliMapenzi hayalazimishwi.
Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse.Sasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba.
Mkuu mimi si daktari plz.Dr hii kitaalamu inaitwaje, au ndo wedding eclipse.
Nahisi huyu jamaa atakuwa ana mananeSasa mpaka mume anaamua kuoa kanisani mummy si ameshakudhalilisha vya kutosha. Mwache aende rizk ni mafungu saba.