Kwani we unasemaje?
Ni watu wanafanya mambo ya kidwanzi, ambayo ukichanganya ki andiko ( character wanazingua big times )Dini imezidi utashi na tafakuri binafsi
Mzungu ana maajabu gani ?
Hivi hii animation naipata wapi mkuu ..?GOD BLESSED THE WHITE MAN - UNCLE RUCKUS IN BOONDOCKS
YOutube kuna short clips ila nahisi zipo . Ila online hukosi . Aisee nilikuwa nacheka sana hawa jamaa wako so creativeHivi hii animation naipata wapi mkuu ..?