Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 8, 2014 #41 Una miadi ya kukutana na mtu saa tisa, ikifika saa tisa haonekani af ukimpigia simu anakwambia 'samahani mambo yameingiliana tufanye kesho' sasa kwa nn usiseme mapema hadi upigiwa simu?
Una miadi ya kukutana na mtu saa tisa, ikifika saa tisa haonekani af ukimpigia simu anakwambia 'samahani mambo yameingiliana tufanye kesho' sasa kwa nn usiseme mapema hadi upigiwa simu?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 8, 2014 #42 Wapo wale anakuahidi kukupa kitu wakati anajua wazi kabisa uwezekano haupo. Ukianza kumfuatilia anakuzungusha weee hadi ukate tamaa
Wapo wale anakuahidi kukupa kitu wakati anajua wazi kabisa uwezekano haupo. Ukianza kumfuatilia anakuzungusha weee hadi ukate tamaa
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 8, 2014 #43 Bulldog said: Ndo umeamua kuja kunisema hapa au? Click to expand... ndiyo uache kukimbia na comission za watu
Bulldog said: Ndo umeamua kuja kunisema hapa au? Click to expand... ndiyo uache kukimbia na comission za watu
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 8, 2014 #44 miss chagga said: ndiyo uache kukimbia na comission za watu Click to expand... Nakuletea mama, tena na riba
miss chagga said: ndiyo uache kukimbia na comission za watu Click to expand... Nakuletea mama, tena na riba
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 8, 2014 #45 Bulldog said: Nakuletea mama, tena na riba Click to expand... naisubiria hiyo hela yangu
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,474 May 8, 2014 #46 Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe.
Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe.
inspector laddy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 761 Reaction score 258 May 8, 2014 #47 Heaven on Earth said: akikutongoza ukamkataa anaanza kukutangazia mbaya na kukununia Click to expand... bora anaenuna kuliko yule anakutongoza unamkataaa anakuja jf ana pm watu uongo kua amekupitia,ni shidaa
Heaven on Earth said: akikutongoza ukamkataa anaanza kukutangazia mbaya na kukununia Click to expand... bora anaenuna kuliko yule anakutongoza unamkataaa anakuja jf ana pm watu uongo kua amekupitia,ni shidaa
mroya JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 321 Reaction score 188 May 8, 2014 #48 vocha unamnunulia lakini hakupigii ni kukubeep tu
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 8, 2014 #49 Sindi ubinaadamu huo.... Dunia hadaa, Ulimwengu ushujaa !
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 May 8, 2014 #50 bato said: Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe. Click to expand... Hahaha! leo na kuna mtu nimemkaribisha jioni ngoja nimwambie mapema ni yeye ndo aje sio na mashosti
bato said: Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe. Click to expand... Hahaha! leo na kuna mtu nimemkaribisha jioni ngoja nimwambie mapema ni yeye ndo aje sio na mashosti
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 May 15, 2014 #51 mtu anakulilia hali huyo unamuoneaje huruma??? asa ukimsaidia ndio adha inapouja mmhhh ptuuuuu sitaki kukumbuka afu mimi nikiwa namdai mtu akae akijua sisahau deni ohooooo
mtu anakulilia hali huyo unamuoneaje huruma??? asa ukimsaidia ndio adha inapouja mmhhh ptuuuuu sitaki kukumbuka afu mimi nikiwa namdai mtu akae akijua sisahau deni ohooooo
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,195 May 15, 2014 #52 bato said: Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe. Click to expand... Ha ha ha hiyo inaitwa "niite tuje"
bato said: Manzi Unamkaribisha kwa chakula na vinywaji jioni,yeye anakuja na mashosti zake,Wote wakutegemea wewe. Click to expand... Ha ha ha hiyo inaitwa "niite tuje"
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 May 15, 2014 #53 Mtu unamgegeda vizuri lakini hatoi shukrani.!