Mkuu ndiyo maana tawala zetu nyingi za waAfrika zinayumba kwa sababu ya ubinafsi wa raia wake na kukosa msimamo, wanapeperushwa kama bendera kufuata upepo, ni rahisi sana kuingizwa mkenge.
Hakuna mtu asiyependa maendeleo kama yanayofanywa na serikali, isipokuwa kinachofanywa na wachache ni kupandikiza hila za kuvuruga mawazo ya watu, ambapo inatakiwa wapuuzwe kwa nguvu zote.
Ukiuliza wanaopiga kelele waeleze ni kipaumbele gani ambacho wao wangeanza nacho, hawana jibu na hawaelewi wangeanza na nini, ilimradi tu anayofanya Jpm hawakitaki!
Kama kweli kuna watu hawapendi anayoyafanya Jpm kutoka mioyoni mwao, basi nitasadiki kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Baada ya hapo, nitaomba tuufunge mjadala huu maana tutakuwa tumeelewa 'rangi' halisi ya raia.
Kama unaongelea reli kuagizwa kutoka Japan, elewa kuwa Tanzania hakuna kiwanda cha kutengeneza machuma ya reli nzito zenye uwezo wa kubeba tani 35 hivyo ilibidi tuagize. Ila hiyo la mchuchuma na kiwira nadhani linafanyiwa kazi kwa sasa ili tuweze kufua vyuma vyetu hapo baadae.Yeye pia ni kundi la wapigaji angependa maendeleo angeanza na utengenezaji wa chuma cha mchuchuma, liganga, na chuma cha pua songwe yeye ananunua chuma kutoka nje kama sio sababu ya dili ni nini huoni una mahindi ndani badala ya kusaga upate unga unakwenda dukani kununua unga huo ni wizi mkubwa
Inaonekana wewe hauko nchini. Umeambiwa kuna watu wanabeza au kupinga maendeleo yanayofanywa na rais nawe umeamini. Umepewa list ya watu hao wanaopinga yale rais anafanya? Kama ndivyo iweke hapa.Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika. Iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia kwa asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji.
Hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kwanza kabla ya mifumo ya fahamu na mimeng'enyo. Mifumo yote ya viumbe hai hutegemea mfumo wa usafirishaji.
Kama asili yetu imeona umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Inaonekana wewe hauko nchini. Umeambiwa kuna watu wanabeza au kupinga maendeleo yanayofanywa na rais nawe umeamini. Umepewa list ya watu hao wanaopinga yale rais anafanya? Kama ndivyo iweke hapa.
Kinachopingwa si shughuli za maendeleo yanayofanywa bali namna yake ya ufanywaji wa shughuli hizo za maendeleo.
Kazi yoyote ikifanyika nje ya mipango ni takataka hata kama iwe nzuri namna gani. Ni kwasababu hiyo kanyima watumishi haki zao za kiutumishi kwa kisingizio cha miradi ya kimaendeleo. Mipango yake ilikuwa kunyima haki watu ndipo shughuli hizo za maendeleo zifanyike? Alishauriana na nani? Mtu unayefanya mambo bila kushauriana na wenzako wewe ni mtu?
Kila rais amefanya mazuri na mabaya wakati wa utawala wake hapa nchini. Lakini naomba uamini, huyu kawazidi wote katika mabaya. Siku akitoka madarakani ndipo utanielewa kwasababu utasikia atakavyopondwa tena na hao hao wanaomsifia leo.
Hivi hii dhana ya Rais ni mtu mmoja imetoka wapi? Yeye anapewa taarifa na kushauriwa cha kufanya na kutoa maamuzi. Hivyo mambo ya watumishi kutopandishwa madaraja hilo ni suala la muda tuu ila kwa sasa cha muhimu ni kuwa na miundombinu ya uhakika.Inaonekana wewe hauko nchini. Umeambiwa kuna watu wanabeza au kupinga maendeleo yanayofanywa na rais nawe umeamini. Umepewa list ya watu hao wanaopinga yale rais anafanya? Kama ndivyo iweke hapa.
Kinachopingwa si shughuli za maendeleo yanayofanywa bali namna yake ya ufanywaji wa shughuli hizo za maendeleo.
Kazi yoyote ikifanyika nje ya mipango ni takataka hata kama iwe nzuri namna gani. Ni kwasababu hiyo kanyima watumishi haki zao za kiutumishi kwa kisingizio cha miradi ya kimaendeleo. Mipango yake ilikuwa kunyima haki watu ndipo shughuli hizo za maendeleo zifanyike? Alishauriana na nani? Mtu unayefanya mambo bila kushauriana na wenzako wewe ni mtu?
Kila rais amefanya mazuri na mabaya wakati wa utawala wake hapa nchini. Lakini naomba uamini, huyu kawazidi wote katika mabaya. Siku akitoka madarakani ndipo utanielewa kwasababu utasikia atakavyopondwa tena na hao hao wanaomsifia leo.
Mkuu, hawa wanaolialia humu jukwaani wengi wao ni wale waliotumbuliwa kwa namna moja au nyingine. Ni wahanga wa chekeche zito la awamu ya tano.Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika. Iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia kwa asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji.
Hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kwanza kabla ya mifumo ya fahamu na mimeng'enyo. Mifumo yote ya viumbe hai hutegemea mfumo wa usafirishaji.
Kama asili yetu imeona umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Mkuu, hawa wanaolialia humu jukwaani wengi wao ni wale waliotumbuliwa kwa namna moja au nyingine. Ni wahanga wa chekeche zito la awamu ya tano.
JPM anayatazama maslahi mapana ya Tanzania bila ya uoga, wanajaribu kumkwaza lakini wanaomuunga mkono ni wengi kuliko hawa wenye hasira.
Mkuu haya yanayofanyika ni kwa nia njema inayolengwa kwa hao hao wafanyakazi.Akili za wana ccm bhana! Kwa hiyo mtu anapodai haki yake basi huyo ametumbuliwa! Mjibu hoja; kwa nini yeye mwenyewe asiwe mfano wa kuigwa kwa kujipunguzia stahiki zake na zile za wasaidizi wake ili kujenga hiyo miundombinu?
Why watumishi wa umma tu wanyimwe haki zao? Kwa nini lisiwe zoezi la kitaifa? Mtu wa namna hii utamuita jina gani zaidi ya mbinafsi na mtu mwenye roho ya kwa nini? Hakuna anayepinga maendeleo! Lakini ni kwa nini uwaumize wachache? Mbona JK alijenga kila aina ya miundombinu lakini aliheshimu haki za wafanyakazi?
Mbona tani za chakula ni nyingi lakini wakulima bado masikini wa kutupwa?Yeye alianza na kujenga miundombinu ya usafirishaji ili gharama za maisha zipungue na hivyo kupunguza umaskini. Mtu ataweza kutoka Mwanza akaja na treni ya umeme Dar akauza sangara wake na jioni akarudi Mwanza, siku hiyo hiyo.
Ajira zitaongezeka kutokana na urahisi wa kufanya biashara.
Serikali inatoa mkopo wa matrekta kwa bei nafuu, mwaka huu tumepata ziada ya chakula tani milioni 3.32 wakati mwaka 2014 tulikuwa na ziada ya tani milioni 2.3.
Mkuu haya yanayofanyika ni kwa nia njema inayolengwa kwa hao hao wafanyakazi.
Ni muhimu mtu aishi vizuri lakini kumbuka kuwa Tanzania haishii na uhai wako na wa kwangu na wa mwingine aliyehai leo hii.
Haya madaraja na ndege na miradi mingine mikubwa inamlenga mtanzania wa mwaka 2045- 50. Ndicho walichokifanya wazungu miaka mingi iliyopita, walijenga miundo mbinu ambayo ndiyo inayotumika hivi leo.
Tuvumilie machungu ya sasa, kinachofanyika kinatazama mbali zaidi, tujitahidi tuuepuke ubinafsi, maisha hayaishii kwa sisi wa sasa, wapo watanzania wa miaka 50 mpaka 100 ijayo.
Lumumba nyie walamba miguu muwe mnaelewa ,hakuna anayepinga maendeleo sawa watu wanapinga vitendo vya ushetani vya Jiwe ,pamoja na vipaumbele vya miradi eleweni nyie ma slow learner .Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika. Iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia kwa asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji.
Hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kwanza kabla ya mifumo ya fahamu na mimeng'enyo. Mifumo yote ya viumbe hai hutegemea mfumo wa usafirishaji.
Kama asili yetu imeona umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Hiyo kadi ya Lumumba ulinipa wewe?Lumumba nyie walamba miguu muwe mnaelewa ,
Mwangosi alitolewa utumbo awamu ipi?hakuna anayepinga maendeleo sawa watu wanapinga vitendo vya ushetani vya Jiwe ,pamoja na vipaumbele vya miradi eleweni nyie ma slow learner .
sawa......Ni awamu ya 5.
Mkuu kwa mtazamo na uelewa wangu hivyo vyote ulivyovitaji si maendeleo ila matokeo ya maendeleo,hivyo vitu tunavijenga kwa kukopa pesa toka nje,lakini hao wanaotukopesha hivyo vitu wanavyotayari,je wao walikopa wapi?Jibu ni kwamba wao walitafuta maendeleo ya watu wao kwanza kwa maana ya kuhakikisha watu wao wanapata elimu bora,watu walipoendelea uwezo wao wa kulipa kodi ukaongezeka,serikali ikakusanya pesa ya kutosha ndo ikaanza kufanya hivyo unavyoita maendeleo, acha tujidanganye tuToka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika. Iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.