Watu wanao endaga club

Hahahahahaaa you know what BAK, goose pimples on..... Black Box umenikumbusha mbalii, kuruka majoka bila kujali wapi utakanyaga....

Thanks man.
 
Reactions: BAK
I can’t wait for this weekend πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Heheheheheheh sema BAK Mmatumbii aahahahahahaa

Friday is coming feels like krisskross jump jump....

Heheheee
 
Na wala huombi samahaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahahahahaaa you know what BAK, goose pimples on..... Black Box umenikumbusha mbalii, kuruka majoka bila kujali wapi utakanyaga....

Thanks man.
 
Na wala huombi samahaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahahahahhaaa na kumsukuma mtu wakati unacheza akija juu unatia ilikuwa bamping aahahahahahahaaaa

Those were the days.....
 
One safari leads to another, kwenye mziki kuna mambo mengi," biashara,wizi,utapeli,ukahaba na mengineyo. huna budi kuzikubali kelele maana ndio kivutio.
 
kuangalia movie mkuu sio mpaka iwe home sikuiz kuna ma sinemax ni wewe tu na hobie yako ya matumizi ya ela
yes hiyo wewe na hobbie yako mtu kweli maana mi movie cinemax hapana kabisa, ntaenda kwingine kufanya kitu kingine tu .....
 
Heheheheheheh sema BAK Mmatumbii aahahahahahaa

Friday is coming feels like krisskross jump jump....

Heheheee
hizi pini ni balaa enzi za Mwalimu Mwinyi na Mkapa....90's kid kama sisi tunaelewa full kushika lyrics kuchana
 
"wengine club Kila mwisho wa wiki ..Haina maana nafuata tu mziki .."-ngwair(Sikiliza truck ,back then)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…