Watu wanao endaga club

Club acha kabisa Mkuu mie mpaka wanafunga na muda wote utanikuta kwenye dancing floor nafanya yangu. Nikitoka hapo roho yangu kwatuuuu nyeupeee. Acha kabisa Mkuu halafu ukutane na DJ anajua kupanga debe.





Kasie mnyamwezi njoo huku umwage radhi zako.

 
Mimi huyo lol! When my song is playing I like it in full volume niwe home club au ndani ya mkoko. Wazazi wanapenda kunitania masikio yangu yana kasoro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lakini yako bomba tu hayana matatizo yoyote.


 
Na uzee huu sijawahi hata kutamani kwenda club..ingawa fiesta enzi za ujana zilikua hazinikosi hadi mshua alikua analijua hilo

Ila kusikiliza mziki kama Niko kwenye maombolezo ndio siwezagi...raha ya mziki mtam volume iwe juu
 
Ushasema kuna watu kwamba tayari umeonesha utofauti so kila mtu ana starehe yake
 
Siku hizi ndo sienjoy club ila enzi zangu club zilinitambua.
Tulikua tukienda club na rafiki zangu tunatoka wa mwisho. Tunacheeeza wee na kucheza na kesho tunarudi tena.
Toka nimeanza kuwa mnywaji club naona kama mizinguo. Nikitaka mziki naenda zangu bar yenye mziki mzuri au lounge.
 
We kama mm tu yaani lounge ndo nahis kama niko club tu
 
Lounge zenye mziki mzuri na pombe wala huoni tofauti unaona kama uko club tuu
Yeah ni kweli usemayo mamaangu na wafanyabiashara wengi washagundua hii kitu ndo maana hawawekezi sana kwenye kufungua club na wanainvest sana kwenye lounge na inawalipa sana tu.
 
Acha kufananisha club na mambo ya kijinga[emoji1787][emoji1787]
 
mimi sio mpenzi wa muziki na si mnywaji ila club huwa naenda mwaka mara moja, hunisaidia kuona vibes na style za Maisha ya wakati ule, na sana sana siwezi kukaa Zaidi ya masaa 3 na nikitoka hapo kwa wiki nzima mbele usikivu wangu unakuwa na walakini
 

Ntarudi B to the K, wacha nimalizie to do list.

I have a special week coming on my way....

To start with, tonight is tonight.....

Laters.
 
Reactions: BAK
kuangalia movie ndani ni tofauti nakutoka nje...zote starehea lakini zinatofautiana so zoet muhimu..kaa tu uangalie movie utakuwa hujakua au hujapangailia tu hela ya nje.....nje kuna raha yake...ile miziki ile matamsha mfano ile ya kila mwaka sijui fiesta siiwezi na sijawahi enda kwa kuwa kwangu ni vurugu.ila club nikae tu kona moja ninwe bia huku nikichora watu hasa mademu wanavojibinua au niwe na manzi niko nayo pembeni nafaidi music tu...au niwe bar
 
tukutane bar

club hisn't a best place to find love so bar iz whrere i go
 
kuangalia movie mkuu sio mpaka iwe home sikuiz kuna ma sinemax ni wewe tu na hobie yako ya matumizi ya ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…