my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Mimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama haya maana kuna kelele hadi mtu unahisi kuzimia. Lakini nashangaa kuna watu wengine kila weekend wa naenda club. Sijui huwa wanafuata nini maana kama starehe kukaa nyumbani ku watch movie au kuenda kupumzika sehemu ya utulivu ni starehe nzuri kuliko yale makele ya kule club. Mimi sipendi tu zile kelele za mziki zinazo changanyika na sauti za watu za hovyo. Hivi ni kweli mnapata starehe kule?
tena umenikumbusha,acha niende hapa taiwan chapUkiona hivyo ww si mpenzi wa music
Maana gani hiyo?Tuache bana..tunamaana yetu
Huko unakoishi hakuna ma dem mpka una wafuata club?Ukiniona disco ujue nimefata dem wa kumbambia cku hiyo
Na wewe huwa unaenda?We Acha Tu.
Kila mtu ana moyo wake.
Wazee wa lachaz , elegance sinza mpo?
Nani amekuambia naangalia movie za kikorea?Endelea kuangalia movie za kikolea.....hujakua
Sasa kwa yale makelele starehe inatokea wapi? Hmmmh Kweli watu tunatofautianaMkuu, kila mwanadamu ana aina yake ya starehe inayo mvutia kuliko starehe nyingine.
Na ili tukamilike, basi lazima tutofautiane katika hili "starehe".
Na sio kila starehe anayo ipenda mmoja, basi lazima imfurahishe na mwingine...
Napenda mziki ila sio ule wa spika kubwa halafu kwenye mkusanyiko wa watu. Maana inakuwa sio mziki ni makelele tuUkiona hivyo ww si mpenzi wa music
Yani unatoa pesa kwenda kusikiliza makelele ukitoka hapo kichwa na masikio yanauma. Sasa ndio starehe gani hiyo 😀Kitendo kinachoniuzi ni kulipia tu kiingilio club tu yaani nikasikilize njonjo tu kwa sasa hapana
Hata mimi napenda mziki lakini sio wa sauti kubwa hadi iwe keroJapo mimi siyo mpenzi wa kwenda club ila kusikiliza miziki ninayoipenda ni starehe kubwa mno kwangu tena ikiwa kwenye sauti kubwa hata earphones huwa nanunua zenye sauti kubwa na huwa nazijaribu pale pale dukani kabla sijazinunua yaani kwangu mimi miziki ni sehemu ya maisha yangu