Watu Wanane Wafariki Papo Hapo-Mkoani Mwanza

Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.
Kinachonishangaza mm nikuwa sie Watanzania kila kitu tumekuwa nyuma, hivi tatizo liko wapi bara bara kupanuliwa hata ziwe mbili kila upande kwenye jiji kubwa kama hili?????????????????????

Kama dereva afuati ishara na alama za barabarani ndicho chanzo cha ajali hiyo!
 
yaani hilo eneo serikali inapanua barabara kizembe...walianza upande wa kulia sasa wako koshoto lakini kule walipoanza pameanza kubomolka
poleni waliopata ajali
nchi nyingi dunian high way lazima ziwe tofauti zinazoenda na zinazorudi ...hapo ajali nyingi za kizembe huepukwa
 
Ngoja Faizafoxy aje na feasibility study ya kupanua hiyo barabara.
c.c FaizaFoxy
 
Mbona kila kitu kenya? Unaweza kuta wewe mweyewe ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa kurudisha maendeleo ya serikali nyuma kwa kutokulipa kodi. Ebu fikiri ni marangapi umechangia kuikosesha serikali kodi,au kuharibu miundombinu ya serikali kwa kutupa taka hovyo au kwa njia yoyote ile. Yatosha sasa kuilaumu serikali,niwakati wa kufanya yale yatuhusuyo sisi wananchi kwa sehemu yetu na serikali kwa sehemu yao alafu evaluation ya big result itakuja fanyika kwa njia ya sanduku la kura. KUWA MMOJAWAPO WA MAPINDUZI CHANYA KWA TAIFA LA TANZANIA. MUNGU IBARIKI AFRICA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Tatizo siyo kulipa kodi ...tatizo ni matumizi ya hizo kodi zinazokusanywa.........
 
Ni Buhongwa ama wapi? Maana kona ya Mkolani-Buhongwa ndipo mabasi hupindukia, na kipande cha Buhongwa-Mkolani hakuna matuta basi ni balaa tupu hata kwa watoto na school bus asubuhi.

Madereva hawaaaa..??

ndiyo hapo karibu na kituo cha darajani
 
Ni Buhongwa ama wapi? Maana kona ya Mkolani-Buhongwa ndipo mabasi hupindukia, na kipande cha Buhongwa-Mkolani hakuna matuta basi ni balaa tupu hata kwa watoto na school bus asubuhi.

Madereva hawaaaa..??

Tatizo ajari zingine ni za kishirikina tu, Pale Ghana, Kwenye Msikiti wa Taqwa, kuna mtu mmoja mkubwa sana, ogopa sana kuvuka hiyo barabara ukiwa unaukabiri huo mtu, ogopa sana, lazima ule tairi.
 
Ngoja Faizafoxy aje na feasibility study ya kupanua hiyo barabara.
c.c FaizaFoxy

Nakuwekea kipande kidogo cha mleta mada;

GreatThinkers,

Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.

Halafu alisahau kuongezea kuwa viroba navyo ni tatizo kubwa kwa madereva.
 
Back
Top Bottom