Watu wanajituma sana jamvini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
Hakuna hata mmoja ambaye hajitumi humu jukwaani hata wale wanaojifanya wako busy na maisha bado nao wanajituma tuu...! wanajituma kupost post mpya, kuchangia post za wengine, kutoa like kutuma pm nk! hongereni kwa kujituma jukwaa linakua jukwaa linachangamka mno.

HONGERENI
 
Panachangamka sana mkuu, mimi kuanzisha mada siwezi napenda kusoma mada za wenzangu

Wewe angusha mada hata mia moja kwa siku
 
Hahahahahahaaaaa, hongera sana mkuu mshana jr kwa kukazana na wanaMMU wenzako!
 
Last edited by a moderator:
Kukazana kwa jinsi nilivyoelewa mimi - bidii

Au kuna tafsida hapa?
 

kukazana????????????.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…