Hamjui kama huyu jamaa ana kofia mbili za kazi ukuu wa mkoa na wale wa kut***ka watu hill jicho ni training ya ile kazi ya pili
JoshuaHuyo anaesalimiana na majaliwa ni nani?
Kinaitwa kijicho pembe
Hicho kijicho si cha nchi hii.Kinaitwa kijicho pembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa jiraniHicho kijicho si cha nchi hii.
Tutake radhi mazee. Gambo ni huyu wa suti dark blue wa mwisho kushoto. Labda sasa miwani ushikiwe wewe."Gambo" ndiye anayesalimiana na Majaliwa tukuitishie miwani mkuu?
Mkuu namfahamu haswaa ila muuliza Swali hakuwa nia njema nami nikamjibu ili afurahie na "Gambo" wakeTutake radhi mazee. Gambo ni huyu wa suti dark blue wa mwisho kushoto. Labda sasa miwani ushikiwe wewe.