Watu wana roho nzuri sio kijicho hicho.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,642
6,267
tapatalk_1495616864781.jpeg
 
Huyu jamaa angekua mwanamke, mahawara wa mumewe wangemkoma maana si kwa kijicho hiko! Hata kutia sumu kwenye kusima cha maji angetia ili wafe kijiji chote alinde penzi lake

Sidhani kama mwanamme anaweza kuwa na tabia kama hiyo,uyo bila shaka ni jike.
 
Back
Top Bottom