bakarikazinja
Senior Member
- Nov 9, 2009
- 177
- 8
okay kwa kweli huu ndio ujasiri unaotakiwa na wananchi wengine hawana budi kuufuata na kuukubali thanks
Haleluya!Dr W. Slaa anatisha, mafisadi wanogopa hata kivuli chake. Wananchi wanampenda kwa kusema na kusimamia ukweli.
:clap2: Ee Mungu uliyeumba mbingu na nchi mbariki Kongozi wetu Dr Slaa. Mpe afya njema ya mwili na roho, hekima na busara ili aendelee kuiongoza Tanzania.
Du basi akubali asamehe 70 x 70 na akubali yaishe kwani 2015 si mbali
katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" kumbe wanaonyeshana dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote!
Baada ya hapo, mtaani watu wameendelea kujadiliana, slaa leo alikuwepo bungeni....
Heshima niliyoina leo juu ya uwepo wa dr. Slaa bungeni; heshima iliyotolewa na spika, wabunge wote na wanachi walioona na waliosikia, inanifikirisha sana...
This must be a great man for his men and women....., who cares! I do!
Ipo siku atachukua nchi na mafisadi watakimbia
kivuli chake kinatisha na kina mshindo mkuu popote pale anapokwenda