Watu wamesisimka sana kumwona Dr. Slaa bungeni leo

kiukweli tunajua umuhimu wa DR SLAA kwa taifa la TANZANIA ni mtu adimu sana na wanatokea watu wachache wanao simamia ukweli na ukweli mtupu
 
because shughuli anayoifanya sio ya kitoto, kawashika pabaya sema ndio hivyo hana support kubwa ya wananchi

...au iwe hivi: because shughuli anayoifanya si ya kitoto, kawashika pabaya sema ndio hivyo sehemu kubwa ya wananchi wanadanganyika na vikofia na vi-tishirts na vitu vya kijani vile, ukiacha sahani ya ubwabwa .... wajinga kwelikweli!
 
safi sana rais wangu nayekupenda akuna raisi atakaye fanana na wewe labda kambarage tu lakini utakuwa kwenye mioyo ya watanzania daima mpaka hapo mafisadi watakapo kuachia ikulu ukarekebishe mambo na watanzania wakapate kuishi kwa amani na utulivu wakafaidi matunda ya nchi yao mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuongoza taifa hili pasipo kuwepo ikulu
Ufafanuzi tafadhali TANZANIA kila mtu ana Rais wake?au una maanisha nini sijakuelewa naomba ufafanue.
 
Mimi naamini kabisa ya kwamba Dr. Slaa ndiye rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz kwa vile anaongoza nchi ingawa yupo nje ya Ikulu. Kwa mfano katika kampeni yake ya urais alisema kuwa akiingia ikulu, ndani ya miezi mitatu ya kwanza atahakikisha anaanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya. Mchakato huo umeanza katika kipindi hichohicho ingawa ccm haikuwa na ilani hiyo. Na bado, BIG UP DR. WPSLAA!
 
hakuwa na bomu lolote akawalipua mafisadi?? watanzania lazima tujilaumu kwa kupoteza bahati ya mkombozi ambaye Mungu alitupatia.
 
DR.Slaa ni kiongozi wa watu ndio watanzania wengi wanampenda na yuko ndani ya mioyo ya wanchi wengi na mimi nikiwemo tunampenda sana kiongozi wetu hivyo tunafurahi sana kusikia kuona heshima aliyonayo hata kwa wabunge wa CCM.Najua katika msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani hivyo wanaomchukia wapo tu na siku zote mwanadamu hawezi kupendwa na watu wote lakini ni ukweli usiopingika bado DR.Slaa ni mfano mzuri wa kuigwa.

"MUNGU AKUTUNZE KIONGOZI WETU BADO WATANZANIA TUNA TUMAINI NA WEWE."
 
Ni kiongozi wa ukweli, na kila mtu anajua hilo. Wengine wanabeza tu machoni lakini moyoni mwao wanajua kuwa huyo ni mtu wa namna gani. Mungu amzidishie maisha, busara na hekima. HE IS MY PRESIDENT.
 
Aaah aaah aaah..........

Watanzania kwa kutoa sifa za marehemu hawajambo!!
 
Dr Slaa anakubalika,ndani na nje ya system. he is the right presedential material of this tyme!

alisimama kwa unyenyekevu kweli na mama makinda alikiri wazi wazi kuwa "tunakumiss"...

hata hivyo ni kweli miaka mitano si mingi. 2015 ataingia na wabunge wengi zaidi, madiwani wengi zaidi na wenyeviti wa vitongoji wengi zaidi...hii itafanya ugumu wa kazi usiwe mkubwa.

kwa wale mlio mbali na nyumbani Tanzania, kila kukicha chadema inazidi kuongeza wanachama, kujenga matawi, na kukubalika zaidi chini ya uongozi dhabiti wa mh Freeman Aikaeli Mbowe....

Zito amekuwa kijana safi... tunampongeza Mbowe kumpa Waziri kivuli wa fedha. hakuna kisasi ndani ya chadema....

2015 kama kumsukuma mlevi...chadema juu zaidi
 
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!

Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu

akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...

... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???
 
Japa inje ya thread, lakini ni MUHIMU kwa kweli. Katiba siyo option....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom