Niwe mkweli Chadema ya Dr Slaa ilikuwa na watu makini siyo hii chadema ya leo ilisheheni Wahamaji!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?
 
Kuna fisadi gani ambae ameenda Mahakamani na ajawahi kutoa mpunga ccm?
 
Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?[/QUOTE]
Bado wapo watu makini sana.....ndio maana wanahama na wanapewa vyeo vyao vile vile kwenye chama Tawala..... Huo ndio umakini wao....
 
Je hao watu uliowataja wamefariki dunia au bado wapo hai,na je yale waliyokua wakiyapigia kelele yameshaisha kabisa au bado yapo?.Kama yameisha ni haki ya walioko chadema sasa kukaa kimya ila kama bado yapo jibu baki nalo mwenyewe.
 
Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?
Kama Chadema ya sasa hauna watu makini CCM ingewapendaje kuliko wafia chama wake? Umemuona nani kateuliwa kugombea hata udiwani tu katika magarasa ya CCM! Hayauziki ndiyo sababu wanachukua toka chuo kikuu cha siasa Chadema, bisha tu lakini ukweli ndio huo.
 
Haya kachukue buku saba pale lumumba maana wote uliowataja wengi wao mko nao huko ccm Baada ya kuwanunua k
mapungufu ya uzi wako ni kukosekana kwa supportive criteria to justify or verify your argument, umepima vp na zipi ni comperative arguments zako katika statement yako,ni katika ground ipi ambapo unadhani chadema ile ilikuwa active na hii ni inactive,ni kw sabb ya weak system iliyopita au ni kw strong system iliyopo respectively??? Je ground ya ufanyaji kaz kati ya chadema ile na hii iko fair and the same ili tupate utofauti wa chadema hizi mbili???
 
Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?

Dkt. Wilbroad Slaa ni ' Genius ' wa uhakika ambaye nashangaa na nilishangaa mno CHADEMA kuachana nae na anguko lao Kuanza rasmi hadi hivi leo.
 
Juhudi za mwenyekiti katika kuimarisha upinzani nchini uzioni.?
anapenda upinzani mpaka anawanunua.wengine ana wapeleka mahabusu.wengine walifungwa.na risasi mmoja akapigwa.wengine wamepotea
kwa juhudi hizi LAZMA UPINZANI UIMARIKE.NA CCM IFE KABISA.
 
Kama Chadema ya sasa hauna watu makini CCM ingewapendaje kuliko wafia chama wake? Umemuona nani kateuliwa kugombea hata udiwani tu katika magarasa ya CCM! Hayauziki ndiyo sababu wanachukua toka chuo kikuu cha siasa Chadema, bisha tu lakini ukweli ndio huo.
Kwani hao wanaotoka chadema na kuhamia CCM hawajui kusoma na kuandika?
 
SLAA alichukia ufisadi toka ndani ya moyo wakati mbowe na genge lake wanawapenda mafisadi akiwemo Lowasa kutoka ndani ya mioyo.Alipinga ufisadi akimaanisha kumbe wenzie hawamaanishi

cheki hilo genge la matapeli wa CHADEMA hawa Slaa asingeweza fanya nao kazi

1541163677837.png
 
siasa za awamu ile ni tofauti na awamu hii. kama unampenda sana Slaa kwa nini usiende kuishi naye huko aliko? au ukaamua awe kiongozi wa familia yako?

Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?
 
Naikumbuka Chadema ile ya Dr Slaa iliyojaa watu makini akina Prof Kitila, Zitto Kabwe, David Kafulila, Anna Mghwira, JJ Mnyika, David Silinde nk ilikuwa ni chama cha upinzani kweli. Ilidaiwa kuwa kuna kipindi KUB Hamad Rashidi alilazimika kukabidhi " mabomu" mazito ya ufisadi kwa Dr Slaa ili ayalipue bungeni. Na kuna wakati ilimlazimu mwenezi wa CCM Nape Nnauye amlipie Dr Slaa ada ya uanachama kule CCM ili kumpunguza kasi. Na hata sasa tunaona mchango wa Slaa, Kitila na Anna kule serikalini bila kusahau mchango wa Zitto issue ya Buzwagi na Kafulila kule Escrow. Chadema ya Dr Slaa ilichukia ufisadi kama ambavyo Rais Magufuli na serikali ya awamu ya 5 wanavyouchukia ufisadi. Chadema ya leo imekuwa na kigugumizi kikuu kila wakati mafisadi wanaposhughulikiwa.......chadema hii imekumbwa na ugonjwa gani?
Machozi ya mamba hayana mvuto.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom