Watu wamesisimka sana kumwona Dr. Slaa bungeni leo

Dr W. Slaa anatisha, mafisadi wanogopa hata kivuli chake. Wananchi wanampenda kwa kusema na kusimamia ukweli.

:clap2: Ee Mungu uliyeumba mbingu na nchi mbariki Kongozi wetu Dr Slaa. Mpe afya njema ya mwili na roho, hekima na busara ili aendelee kuiongoza Tanzania.
Haleluya!
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima ampende Dr.slaa,otherwise utakua na matatizo ya akili(punguani),hongera rais wetu :clap2::clap2::clap2:
 
katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" kumbe wanaonyeshana dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi mh. Makinda alivyokuwa akimfagilia! Nilishangaa zaidi nilipoona watu wengi waliosisimka ni wa vyama vyote!

Baada ya hapo, mtaani watu wameendelea kujadiliana, slaa leo alikuwepo bungeni....

Heshima niliyoina leo juu ya uwepo wa dr. Slaa bungeni; heshima iliyotolewa na spika, wabunge wote na wanachi walioona na waliosikia, inanifikirisha sana...

This must be a great man for his men and women....., who cares! I do!

me too!!
 
Big up sana Dr. Slaa.

Tz ina bahati nzuri kuwa yakitokea ya Tunisia na Misri hakutakuwa na "power vacuum" kwani tayari wanachi wa Tz wana rais wao ambaye Tume Chakachuzi imemwekea kikwazo kidogo. Ila wao wanamjua rais wao ni nani.
 
mweeee ..rais wangu wa ukweli....Sitaweza kukusahau mimi kwa kampeni zako za urais..nakumbuka kuna mgombea flani alikuwa anakaa mpaka kwenye mafumbi anakumbatiana na wamama kuomba kura....
 
Dr. Slaa amejilimbikizia heshima, ataishi maisha ya raha na ataheshimiwa na kila Mtanzania. Viongozi wetu waache hofu ya maisha inayowafanya wajilimbikizie mali ambayo sio ya kihalali.
 
Unajua wa Tanzania huuona umhimu wa m2 baada ya kumpoteza!! Ndg zangu Dr. Slaa ni m2 mhimu sana kwa taifa letu. Ni miongoni mwa watu adimu waliowahi kutokea hapa kwetu, èbu tumtunze atutunze.
 
safi sana Dr. Slaa heshima hutoka kwa Mungu hivyo ninaimani ccm hawawezi kuizuia hiyo ni karama na busara kutoka kwa Mungu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom