PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ww ni mbwa tu unayesubiria kula makombo kutoka kwa Bwana wako unatumia tumbo kufikiria na sio kichwa.

Usinipotezee muda 🚮🚮
Ongea yote umalize hakuna Mzanzibari wakuondoka Tanganyika wala Mtanganyika wa kuondoka Zanzibar, Hao wote ni Watanzania wana haki ya kuishi popote usitake kutengeneza hofu ambazo hazipo. Atakayejaribu kuhatarisha amani ya Mtanzania wowote kwa kichaka cha Maandamano, Vyombo vishughulike nae instantly bila kumuonea huruma. Wakipotea wachache ili wengi wabaki salama siyo kitu cha kustaajabisha.
 
serekali haiwezi kurudia uli usenge waliofanya 29 october. Watalinda mali za serekali na mali za wawekezaji kama petrol station.
Waandamanaji wataachwa waandamani, wafikishe ujumbe walionao. Hawataruhusiwa kufika ikulu, wataishia viwanja vya wazi kama mnazi m1.
Naona ikiwa hivi itakua njia nzuri isiyoumiza wala kuleta machafuko na wahuni wakatumia mwanya huo kuleta political unrest
 
Miamba imejiapia kuwa maza hawezi kutuulia watanganyika wenzetu halafu aachwe atambe,hiyo ni big No ,Bora watu waasinmfumo kuliko kuutoralate huo ufala .
Acha stori zako miamba Gani hiyo ya kuweza kiasi mfumo hapa ni raia kujitetea wenyewe tanzania hamna kitu la kiasi mfumo hata nukta yapo kama kondoo tu hayajui nayenyewe watafika mda was kuyaua
 
Wanajeshi wengi wamefungiwa kambini naskia..Hiyu Nkunda ni mpuuzi sana
Hamna jeshi hapo duniani kotetofauti na tanzania hakuna mwanajeshi anaekubali kufungiwa kama broila tanzania hamna jeshi na wanaweza hata kuyaua yakakaa yanaangalia tu yanavyouwawa
 
serekali haiwezi kurudia uli usenge waliofanya 29 october. Watalinda mali za serekali na mali za wawekezaji kama petrol station.
Waandamanaji wataachwa waandamani, wafikishe ujumbe walionao. Hawataruhusiwa kufika ikulu, wataishia viwanja vya wazi kama mnazi m1.
Tumeshachelewa....
 
Usinifananishe na watu ambao siwafahamu. We tukana lakini ukae ujue hii nchi ina misingi yake na haitoyumbishwa na mpumbavu yoyote yule.
Misingi ipi hiyo mkubwa? Naomba dadavua kidogo ili nikuelewe vizuri.
 
Yupo wapi yule mwenzio Steve Mengele aliesema ooh October 29 hakuna wa kuandamana fyofyofyo ..manyoko umazaliwa kupitia mkunduni wewe, tena chunga mdomo wako ....lamama yako
Yule hata kwenda choon hataki kuonekana. Wanamtamani sana
 
yani hatujui tukimbilie wapi
Kama upo mikoa ya mpakani anza kuandaa exit plan ila kama upo hapa mjini zama youtube. Uanze kula nondo za kutembeza mjegeje
Incase tukifika huko....
..
 
yani hatujui tukimbilie wapi
Msipate hofu mumtumaini Mwenyezi Mungu, kutakuwa na shida ila itakuwa ya muda mfupi, na uhakika vyombo vimeshapata funzo kwa vurugu za mwanzo, kwahiyo kwa wakati unaokuja hawatawaacha watambe kama walivyotamba mwanzo, wameshajua ukicheka na mbwa unaingia nae kwenye nyumba ya ibada. Lets wait and see.
 
Kama upo mikoa ya mpakani anza kuandaa exit plan ila kama upo hapa mjini zama youtube. Uanze kula nondo za kutembeza mjegeje
Incase tukifika huko....
..
Doh nina mtoto mdogo wa miezi sina hata furaha nikiwaza nilipona juzi je hio inayofata itakuaje?nawaza nikimbilie mkoa gani vijijinj huko nikajifiche maana huko mbeya kijijini kilinuka vibaya mno
its sad hapa ndio tumefika 🙌🏾
 
Ingia Zambia kama bajeti inaruhusu
 
Alikuwa hategemei kama vi Gen-Z vilikuwa serious. Yeye alikuwa nafikri ni kile kizazi cheti ambacho hata mbwa wa mwanaccm akikubwekea tu unaufyata! Sasa alichokosea zaidi ni kumwelekeza Samuya awafyatulie risasi wale watoto!
Hata kama hakumwelekeza direct, lakini kete alizosukuma ni kama zina backfire . Yeye ndio architecture na remote controller wa baadhi ya mambo hapa tz
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Usiseme hiyo aaagh!

MWANAMKE MPUMBAVU UVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.....wengi mlio mpampu samia kwa kumsifia na kumpa kichwa na kumpa kiburi leo mnajidai kuyapinga matunda ya juhudi zenu ...walio kuwa wanamuunga mkono samia ndiyo walio mfikisha hapo...hatia na hukumu ya samia ni lazima iwe juu yao pia.
Katika kitu kigumu mkuu ni kumshauri mtu ambae akili yake imeshikwa na mange 😅
 
Back
Top Bottom