PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ulivyoandika "noumer" tu nikajua anayeandika haya is a boy not a man. Ukimchukulia serious unapoteza muda wako bure. Waambie waendelee na mipango yao watafanikiwa.
Yupo wapi yule mwenzio Steve Mengele aliesema ooh October 29 hakuna wa kuandamana fyofyofyo ..manyoko umazaliwa kupitia mkunduni wewe, tena chunga mdomo wako ....lamama yako
 
Usinifananishe na watu ambao siwafahamu. We tukana lakini ukae ujue hii nchi ina misingi yake na haitoyumbishwa na mpumbavu yoyote yule.
 
Aliyatengeneza haya mazingira either kwa kujua au kutokujua
Alikuwa hategemei kama vi Gen-Z vilikuwa serious. Yeye alikuwa nafikri ni kile kizazi cheti ambacho hata mbwa wa mwanaccm akikubwekea tu unaufyata! Sasa alichokosea zaidi ni kumwelekeza Samuya awafyatulie risasi wale watoto!
 
Usinifananishe na watu ambao siwafahamu. We tukana lakini ukae ujue hii nchi ina misingi yake na haitoyumbishwa na mpumbavu yoyote yule.
Ndio maana nasema wewe ni mmoja wapo wa wale waliofanya yale mauaji, unajidhihirisha wazi kwa kila mtu kuona ni jinsi gani unafurahia watu kufa unafurahia watu kuuawa unafurahia watu kupigwa risasi mpaka kufa. Nikuulize unalipwa nini kufanya hivyo? Mtaua wangapi mpaka lini?
 
Hata wewe ukiwa kwenye kundi la wahalifu wakikuzimisha siwezi kukusikitikia wala kukuonea huruma.
 
Wewe ndio mhalifu namba moja sababu una kesi ya kuua idadi kubwa ya watu na mikono yako hapo ilipo imetapakaa damu.. Framed
Mimi nachoshkuru baada ya kuuliwa kundi la wahalifu waliokuwa wanahatarisha amani ya nchi, nchi imetulia wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Ombi langu kwa vyombo vya dola tar 09 Disemba 2025, wakitokea wahalifu wengine kama wale wasiwape muda mrefu kutamalaki, ili wananchi wanaoitakia mema nchi yetu waendelee na maisha yao. Wasiteseke kwa ujuaji wa kikundi cha watu wachache.
 
Framed again, wewe ni muuaji mtekaji mtesaji wewe kuona watu wanakufa kwako ni furaha, pumbavu usifikiri watu hatukujui unajifanya unatetea wauaji kumbe wewe mwenyewe ni mmojawapo muuaji mkubwa wewe
 
Yote sawa tu wewe Malaika. Narudia tena Amani ya Tanzania ilindwe kwa gharama yoyote.
 
Wewe ni muuaji na tumekugundua mapema sana, zile damu zilizomwagika wewe pia ulihusika kuua.. Framed
 
Kawaambie wenzio Amani kwenye nchi yetu bila kujali dini, kabila, wala rangi ni priority namba moja. Inatakiwa kulindwa kupiganiwa kwa gharama yoyote. Ujumbe huu ufike kwako na wote waliopewa dhamana ya kuangalia usalama na ulinzi wa Taifa la Tanzania. Wasimuangalie mtu usoni wala wasijali wadhifa wake kama anachochea uvunjifu wa amani waruke nae mzima mzima.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Maisha ya wateule yapo hatarini sana .

ROHO YA KISASI imestawi mno.

Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana .

Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na hasa wale waliyokuwa na chembechembe nyingi za usiasa za mageuzi ndani yao huku % ndogo sana walikuwa ni wale waliyoguswa na matendo ya utekaji.

Maandamano ya tare 09 12 2025 yanawalipa visasi wengi na pia yana wanasiasa wengi.

Lakini pia kuna taarifa zisizo rasmi za maadui wa nje kutaka kuitumia hiyo fursa kwa kujiegemeza upande wa wadai haki , sikubahatika kupata taarifa za mikataba bainq yao japo najua hawawezi kukubali kuongeza nguvu pasipo maslahi yao kutazamwa .

Na kibaya zaidi wote kwa pamoja wanakutanishwa na dhamira moja tu KUYAONA MACHOZI YA CCM na ikiwezekana kuiondoa madarakani japo wengi wanahasira na uongozi wa Rais aliye madarakani na uchaguzi mwingine kufanyika.

Kwanini tunadhani wanatamani kuyaona machozi ya CCM iwe ndiyo msingi wa maandamano yao?

Nikwasababu ,wanaichukulia serikali ya CCM ni kama kiburi ,ndiyo sababu ya yote haya yaliyotokea ikiwemo kuwaulia wapendwa wao na hawaonyeshi kuguswa na maumivu waliyowasababishia wenzao.

Lakini kitendo cha kuendesha serikali kimabavu kinaifanya jamii hasa ya wale wapenda demokrasia kujiona nikama wametunishiwa misuli kwenye haki zao.

Wengi wanajua kuwa watasurubiwa ,lakini utayari wao wakuyapokea maumivu ni mkubwa sana na wanaonyesha wamejiandaa vizuri , vizuri siyo kwa kuzunguka zunguka ili CCM Ione haibu hadi ikubali kuurudia Uchaguzi ,No , wengi hawazungumzii kuchoma moto na kuharibu mali kama ilivyotokea tarehe 29 October No , wengi wanaonyesha malengo yao makubwa nikuanza kulana vichwa na hasa kwa wateule kuanzia madiwani ,wabunge na hata zaidi tena ndiyo hasa.

Masikini Tanzania yangu .

Watu wanaona njia pekee ya kuifanya serikali ikubali kuheshimu vilio vya watanzania nikuwatengenezea mazingira yakuwazimisha na siyo kuwabembeleza tena .

Watu wamepeana majukumu kitambo tu kila mmoja atimize majukumu yake , wapo waliyojitolea kumalizana nao na wengine kuhakikisha wanafanikisha kuvipata vitendea kazi .

Kibaya zaidi wengi niwakutoka kwenye mfumo wa ndani na wachache ni wale wakutoka nje ambao kwa kushirikiana na Wandani inawawia rahisi kuingiza vitendea kazi.
Nawashauri wazanzibar wanaoishi Tanganyika(Tanzania bara) warudi kisiwani Zanzibar mapema kabla ya tarehe 09 December sio ombi, amri wala ushauri Bali ni tahadhari ya kiusalama zaidi.
 
Framed again, wewe ni muuaji mtekaji mtesaji wewe kuona watu wanakufa kwako ni furaha, pumbavu usifikiri watu hatukujui unajifanya unatetea wauaji kumbe wewe mwenyewe ni mmojawapo muuaji mkubwa wewe
Achana na bumunda huyo,

Mm nashauri Tanganyika ikikombolewa Bwana Melo atupatie details za ID za Hawa mbwa ili tuwashughulikia ipasavyo.
 
Nawashauri wazanzibar wanaoishi Tanganyika(Tanzania bara) warudi kisiwani Zanzibar mapema kabla ya tarehe 09 December sio ombi, amri wala ushauri Bali ni tahadhari ya kiusalama zaidi.
Umesahau kuwa Zanzibar pia kuna Watanganyika ambao wanaishi kule?
Yote tisa, kumi tuzungumze yote lakini kwenye suala la amani ya nchi yetu hataangaliwa mtu usoni. Kikundi cha watu wachache hakiwezi kufanya kundi kubwa la watanzania waishi kwa hofu na mashaka kwenye nchi yao.
 
Ww ni mbwa tu unayesubiria kula makombo kutoka kwa Bwana wako unatumia tumbo kufikiria na sio kichwa.

Usinipotezee muda 🚮🚮
 
Maisha ya wateule yapo hatarini sana .

ROHO YA KISASI imestawi mno.

Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana .

Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na hasa wale waliyokuwa na chembechembe nyingi za usiasa za mageuzi ndani yao huku % ndogo sana walikuwa ni wale waliyoguswa na matendo ya utekaji.

Maandamano ya tare 09 12 2025 yanawalipa visasi wengi na pia yana wanasiasa wengi.

Lakini pia kuna taarifa zisizo rasmi za maadui wa nje kutaka kuitumia hiyo fursa kwa kujiegemeza upande wa wadai haki , sikubahatika kupata taarifa za mikataba bainq yao japo najua hawawezi kukubali kuongeza nguvu pasipo maslahi yao kutazamwa .

Na kibaya zaidi wote kwa pamoja wanakutanishwa na dhamira moja tu KUYAONA MACHOZI YA CCM na ikiwezekana kuiondoa madarakani japo wengi wanahasira na uongozi wa Rais aliye madarakani na uchaguzi mwingine kufanyika.

Kwanini tunadhani wanatamani kuyaona machozi ya CCM iwe ndiyo msingi wa maandamano yao?

Nikwasababu ,wanaichukulia serikali ya CCM ni kama kiburi ,ndiyo sababu ya yote haya yaliyotokea ikiwemo kuwaulia wapendwa wao na hawaonyeshi kuguswa na maumivu waliyowasababishia wenzao.

Lakini kitendo cha kuendesha serikali kimabavu kinaifanya jamii hasa ya wale wapenda demokrasia kujiona nikama wametunishiwa misuli kwenye haki zao.

Wengi wanajua kuwa watasurubiwa ,lakini utayari wao wakuyapokea maumivu ni mkubwa sana na wanaonyesha wamejiandaa vizuri , vizuri siyo kwa kuzunguka zunguka ili CCM Ione haibu hadi ikubali kuurudia Uchaguzi ,No , wengi hawazungumzii kuchoma moto na kuharibu mali kama ilivyotokea tarehe 29 October No , wengi wanaonyesha malengo yao makubwa nikuanza kulana vichwa na hasa kwa wateule kuanzia madiwani ,wabunge na hata zaidi tena ndiyo hasa.

Masikini Tanzania yangu .

Watu wanaona njia pekee ya kuifanya serikali ikubali kuheshimu vilio vya watanzania nikuwatengenezea mazingira yakuwazimisha na siyo kuwabembeleza tena .

Watu wamepeana majukumu kitambo tu kila mmoja atimize majukumu yake , wapo waliyojitolea kumalizana nao na wengine kuhakikisha wanafanikisha kuvipata vitendea kazi .

Kibaya zaidi wengi niwakutoka kwenye mfumo wa ndani na wachache ni wale wakutoka nje ambao kwa kushirikiana na Wandani inawawia rahisi kuingiza vitendea kazi.
Hii issue ya watu kuingia ndani na kuwa na siraha, nilishamuambia mtu mmoja ana ushawishi sana serikalini kabla ya October 29. Na nilimuambie mkakati na mpango wa kulipua moja ya jengo kubwa mjini Dar es Salaam. Hii nchi wenye mamlaka na nafasi za kimaamuzi wameamua kuiangamiza kwa tamaa na ufisadi wao, wamekaa mbali katika kuwa wazalendo
 
Wanawake na watoto watakwenda kuumia sana...
serekali haiwezi kurudia uli usenge waliofanya 29 october. Watalinda mali za serekali na mali za wawekezaji kama petrol station.
Waandamanaji wataachwa waandamani, wafikishe ujumbe walionao. Hawataruhusiwa kufika ikulu, wataishia viwanja vya wazi kama mnazi m1.
 
Back
Top Bottom