Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Maisha ya wateule yapo hatarini sana .
ROHO YA KISASI imestawi mno.
Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana .
Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na hasa wale waliyokuwa na chembechembe nyingi za usiasa za mageuzi ndani yao huku % ndogo sana walikuwa ni wale waliyoguswa na matendo ya utekaji.
Maandamano ya tare 09 12 2025 yanawalipa visasi wengi na pia yana wanasiasa wengi.
Lakini pia kuna taarifa zisizo rasmi za maadui wa nje kutaka kuitumia hiyo fursa kwa kujiegemeza upande wa wadai haki , sikubahatika kupata taarifa za mikataba bainq yao japo najua hawawezi kukubali kuongeza nguvu pasipo maslahi yao kutazamwa .
Na kibaya zaidi wote kwa pamoja wanakutanishwa na dhamira moja tu KUYAONA MACHOZI YA CCM na ikiwezekana kuiondoa madarakani japo wengi wanahasira na uongozi wa Rais aliye madarakani na uchaguzi mwingine kufanyika.
Kwanini tunadhani wanatamani kuyaona machozi ya CCM iwe ndiyo msingi wa maandamano yao?
Nikwasababu ,wanaichukulia serikali ya CCM ni kama kiburi ,ndiyo sababu ya yote haya yaliyotokea ikiwemo kuwaulia wapendwa wao na hawaonyeshi kuguswa na maumivu waliyowasababishia wenzao.
Lakini kitendo cha kuendesha serikali kimabavu kinaifanya jamii hasa ya wale wapenda demokrasia kujiona nikama wametunishiwa misuli kwenye haki zao.
Wengi wanajua kuwa watasurubiwa ,lakini utayari wao wakuyapokea maumivu ni mkubwa sana na wanaonyesha wamejiandaa vizuri , vizuri siyo kwa kuzunguka zunguka ili CCM Ione haibu hadi ikubali kuurudia Uchaguzi ,No , wengi hawazungumzii kuchoma moto na kuharibu mali kama ilivyotokea tarehe 29 October No , wengi wanaonyesha malengo yao makubwa nikuanza kulana vichwa na hasa kwa wateule kuanzia madiwani ,wabunge na hata zaidi tena ndiyo hasa.
Masikini Tanzania yangu .
Watu wanaona njia pekee ya kuifanya serikali ikubali kuheshimu vilio vya watanzania nikuwatengenezea mazingira yakuwazimisha na siyo kuwabembeleza tena .
Watu wamepeana majukumu kitambo tu kila mmoja atimize majukumu yake , wapo waliyojitolea kumalizana nao na wengine kuhakikisha wanafanikisha kuvipata vitendea kazi .
Kibaya zaidi wengi niwakutoka kwenye mfumo wa ndani na wachache ni wale wakutoka nje ambao kwa kushirikiana na Wandani inawawia rahisi kuingiza vitendea kazi.