Watu wamedata !!!

Aisee leo Nilikuwa maeneo hayo kwa Mawinga wa simu Nilikuwa nabadilisha protector 🀣🀣🀣

Pale kwenye mgahawa wanapika vitu yummy yummy πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kuna dogo anaitwa Maboko hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MANDI au
 
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi πŸ˜‚

Uzi bado!!
Kila ninayemwona ni wife material analeta nyuzi za namna hii, naomba mnishauri!
 
Ni kawaida wanaume kulala tukiwa tumeweka mkono kulinda mali maana tunathamini sana hizo Nuts ndo kitu pekee inatupa heshima sisi tusio na pesa sasa inawezekana ukatafsiri vibaya akiwa anajikuna
 
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi πŸ˜‚

Uzi bado!!
Mkiombwa hamtoi sasa tufanyeje??
Kimfaacho mtu chake🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…