Watu wamedata !!!

Watu wamedata !!!

Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi 😂

Uzi bado!!
Huku Piga picha? 📸
Bestie Joanah , Kama kweli huyo jamaa alikuwa anafanya hivyo huenda ana matatizo ya akili.

Hivi mambo yote yanayoendelea hii Nchi bado ana nye****za kijinga hivyo?
 
Huku Piga picha? 📸
Bestie Joanah , Kama kweli huyo jamaa alikuwa anafanya hivyo huenda ana matatizo ya akili.

Hivi mambo yote yanayoendelea hii Nchi bado ana nye****za kijinga hivyo?

Sikupiga picha manake nimestuka mixer kushangaa kuona mtu kalala chali vile barabarani mkono upo ndani ya suruali huku kafumba macho 😂

Sijui kichaa yule
 
Back
Top Bottom