WATU WALIOZAA PAMOJA HUWA HAWAACHANI

WATU WALIOZAA PAMOJA HUWA HAWAACHANI

Sina uhakika,
mimi nilioa tukaachana na tulijaaliwa kupata katoto sketi,kwa sasa lile kila likituma sms ni matusi tu,limekosa mtu wa kulioa linaniona kama mimi ndo mchawi wake,full kujikoki lakini nalichunia.
So inategemea,mie sitaki hata kuliona na umalaya wake.
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "kila likituma"
 
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam mwanzo au bado atarudi kwa mzazi mwenzie tu?
Nini maana ya kuachana
 
Dada we una stress? Title maelezo....mi nikajua unakuja na facts kumbe unakuja kuuliza.
 
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam mwanzo au bado atarudi kwa mzazi mwenzie tu?
Kila zama na vitabu vyake lakini inategemea huko kupya atapata nini.. Kama aliruka ndogo akakanyaga kubwa majuto na kumbukizi huanzia hapo
 
Sina uhakika,
mimi nilioa tukaachana na tulijaaliwa kupata katoto sketi,kwa sasa lile kila likituma sms ni matusi tu,limekosa mtu wa kulioa linaniona kama mimi ndo mchawi wake,full kujikoki lakini nalichunia.
So inategemea,mie sitaki hata kuliona na umalaya wake.
hebu nipe number yake
 
Tayari umesha achana na jamaa yako wa wivu kisa status za whatsApp
 
Back
Top Bottom