Watu waliofanikiwa baada ya umri wa miaka 45

Wakuu salamu.

Ipo imani mbaya sana miongoni mwetu vijana, imani iliyopofusha akili zetu na kutufanya tuamini ujinga usio na kichwa wala miguu, imani ya kivivu kabisa na imani yenye roho ya mauti ndani yake.

Ya kwamba, kijana ukifikisha umri wa miaka 40 na bado unateseka kimaisha, yaani huna pa kulala na kula yako ya taabu sana basi kamwe huwezi kufanikiwa tena kimaisha.

Wakuu, imani hii ni ya kijinga kuliko ujinga wenyewe.

Kwanza kabisa nataka kuwaweka wazi ya kwamba, mafanikio namba moja hapa duniani ni "Afya ", kuwa na afya ndo baraka za kwanza kabisa ambazo Mungu humjalia mwanadamu.

Huwezi kuwa na mabilioni ya pesa benk halafu upo hospitali miaka mitatu umelazwa unaumwa ugonjwa ambao hauna tiba halafu ukawa na amani na au ukaifurahia pesa yako.Kiuhalisia maskini atakuwa na amani na furaha kuliko wewe Tajiri.Sasa twende kwenye mada.

Swali nalowauliza na ningependa sana wanijibu wanaosema kwamba ukifikisha miaka 40 huwezi tena kufanikiwa, nataka wanijibu, Kwa hiyo ukifikisha miaka 40 hujafanikiwa utakaa na kusubiria ufe?

Utakata tamaa kiasi kwamba hautajishughulisha kwa lolote kisa tu umefikisha miaka 40? Bahati mbaya ni kwamba kuna watu wana imani kabisa juu ya msemo huu haramu kwamba, "life starts at 40".

Henry Ford, mwanzilishi wa magari ya Ford alianzisha kiwanda cha kutengeneza magari hayo akiwa na umri wa miaka 45,hakuwa na pesa taslimu, alikuwa na mawazo tu, kupitia mawazo yake gari la Ford likatengezwa hadi kuwa kiwanda kikubwa na magari hayo kusambaa kote duniani, leo hii familia ya Ford ni matajiri wakubwa, alianza mwaka 1908,miaka 14 kabla Nyerere hajazaliwa.

Jack Weil, alianzisha biashara ya mavazi ya Cowboy akiwa na miaka 45 na alikuwa na mtaji mdogo sana, leo hii Cowboy ni maarufu pote duniani, Jack Weil amekufa mwaka 2008 akiwa tajiri mkubwa na akiwa na umri wa miaka 107.

Harland Sanders, akiwa na umri wa miaka 62 alistaafu kazi akiwa na mafao kidogo Sana, alichanganyikiwa kabisa akataka kujiua, alikuwa na hali ngumu mno kimaisha. Baadaye alipata wazo la kukaanga kuku na kuwawekea viungo vya kuvutia, na kisha akawa anawaweka kwenye makopo, alianza kuwatembeza nyumba hadi nyumba, mtaji ukakua akafungua kampuni, inayoitwa "Kentucky fried chickens "ndani ya miaka 12 alikuwa tayari ana dola mil mbili.

Mzee huyu amekufa akiwa tajiri.
929e5a8e6f7abd950c6615338669f688.jpg

Mzee Sanders enzi za uhai wake.

Kama huyu mzee aliweza inakuwaje siye vijana tunashindwa? Tunaona aibu kufanya biashara flani eti tutachekwa, huyo anayekucheka hawezi kukupa hata sh 500 ya chai.

Mwaka 2009 nilikuwa na rafiki yangu mwenyeji wa shinyanga, huyu jamaa alikuwa na miaka 48, aliishi maisha magumu sana, nyumba yake Ilikuwa ni ya tope na nyasi, baadaye Siku moja aliniambia, "Masesa, mimi pamoja na kuwa umri umeenda lakini siwezi kukata tamaa, hapa nimepata mbuga ya kulima mpunga hela tano ".

Na kweli msimu ulipofika alilima Kwa kujituma hasa, alipovuna akasubiria msimu wa mazao kupanda bei, aliuza kisha akaanzisha biashara ya duka kubwa, kila baada ya miezi kadhaa akipata faida anaongeza duka jingine, kufikia miaka miwili baadaye alikuwa na maduka 15. Alijenga nyumba nzuri sana kahama, tayari alikuwa amepata mafanikio. Bahati mbaya aliuawa na majambazi."Pumzika Kwa amani rafiki yangu Maduhu Ngeleja ".

Hakuna umri maalumu wa mafanikio, kinachomzuia mtu kufanikiwa ni ugonjwa na kifo au ulemavu basi. Zaidi ya hapo hakuna. La kuzingatia hata Kama una shida kiasi gani, tambua kuwa, hakuna usiku usio na mchana.

Naandika waraka huu siyo kwamba tayari nimeshafanikiwa, la hasha, nipo napigana kiume kutafuta mafanikio.

Naandika ili tupeane moyo kwa wale wenzangu na mimi waliokata tamaa kabisa, mara nyingi tunajifunza kwa watu waliofanikiwa na siyo walioshindwa.
Uwe na Amani
 
Wakati muafaka ndo upi huo na ni muafaka kwa mujibu wa nani? Kuna muongozo maalumu unaoelezea na kuelekeza kuwa huu ndo wakati muafaka?

Nyumba bora ndo ikoje hiyo? Manake nyumba nyingi za Tanzania na ubora hakuna kitu kabisa.

Chakula bora ndo kikoje hicho?

Matibabu mazuri Tanzania? You can't be serious dude.

Mfano...?

Kama shida zipi kwa mfano?

Mafanikio kwenye nchi yenye nominal GDP per capita ya $963?

Mafanikio kwenye nchi yenye HDI ya 0.521 ambayo ni karibu na ya mwisho mwisho huko?
Mkuu Nyani Ngabu, kuishi kwako Marekani muda mrefu kusikufanye uidharau nchi yako kiasi hiki hata Kama ni maskini kiasi gani.
Unataka kuniambia Tanzania nzima hakuna nyumba bora?
Hakuna hosp ya daraja la Kati ambayo mgonjwa anaweza kupata tiba?

Na Kwa nini unajitoa fahamu juu ya chakula bora? ina maana hujui chakula bora kikoje? Mbona Somo la chakula bora linafundishwa darasa la tatu tu primary school?

By the way, si kila mtu anayeishi ktk mataifa yaliyoendelea ni lazima na yeye awe ana maisha mazuri, maskini wa kutupwa wapo wengi tu mitaani,
f05fe3cf9060935d5a379014b06e6761.jpg

Huyo ni maskini wa kimarekani akiomba.
Tena anaomba Kwa kutumia bango.
Takwimu za mwaka jana zinaonyesha kuwa, ktk jiji la New York pekee kulikuwa na idadi ya watu elfu nne waliokuwa wakilala Nje, yaani ni homeless.

Vijana wengi sana wana mawazo ya kutafuta maisha nchi Kama Marekani ila undani Sana hawajui.
Wakiwaona watu Kama nyie mnasifia Marekani na mliwahi kuishi ndo kwanza wanapoteza kabisa ufahamu.
Nimeweka hii Mada ili kuwatia moyo vijana wenzangu wanaoteseka Kama Mimi halafu wewe unataka kuharibu uzi.
Acha hiyo tabia bwana, maswali yako yamelenga kuharibu uzi huu wakati kila kitu kipo wazi.
Wanaotaka kuhakikisha Kama kweli Marekani kuna ombaomba maelfu Kwa maelfu wa google hapa, www. americanbeggars. com

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Maisha lazima yaendelee mkuu. Post yako nimeipenda sana, sio zile post za kumponda Rais wetu. Maisha ni kutafuta mpaka siku ya mwisho ya uhai. Life goes on!
 
sawa mkuu .. maisha ni mapambano mpaka kaburini

Na kwenye mpambano huo mimi nilijifunza kanuni moja tu nayo sitokaa niisahau ni ile usimuige mtu kwenye kutumia muige mtu kwenye kutafuta hela na jinsi anavyojituma kwenye kufanya kazi.
 
Mungu humpa MTU pesa hasa aanziapo 40 na kuendelea na ndio hudumu sana kwani uwezo kiakili unakuwa mkubwa kuliko Under 40,angalia waliochini ya Umri huo wenye pesa mwisho wao.....
 
Wakuu salamu.

Ipo imani mbaya sana miongoni mwetu vijana, imani iliyopofusha akili zetu na kutufanya tuamini ujinga usio na kichwa wala miguu, imani ya kivivu kabisa na imani yenye roho ya mauti ndani yake.

Ya kwamba, kijana ukifikisha umri wa miaka 40 na bado unateseka kimaisha, yaani huna pa kulala na kula yako ya taabu sana basi kamwe huwezi kufanikiwa tena kimaisha.

Wakuu, imani hii ni ya kijinga kuliko ujinga wenyewe.

Kwanza kabisa nataka kuwaweka wazi ya kwamba, mafanikio namba moja hapa duniani ni "Afya ", kuwa na afya ndo baraka za kwanza kabisa ambazo Mungu humjalia mwanadamu.

Huwezi kuwa na mabilioni ya pesa benk halafu upo hospitali miaka mitatu umelazwa unaumwa ugonjwa ambao hauna tiba halafu ukawa na amani na au ukaifurahia pesa yako.Kiuhalisia maskini atakuwa na amani na furaha kuliko wewe Tajiri.Sasa twende kwenye mada.

Swali nalowauliza na ningependa sana wanijibu wanaosema kwamba ukifikisha miaka 40 huwezi tena kufanikiwa, nataka wanijibu, Kwa hiyo ukifikisha miaka 40 hujafanikiwa utakaa na kusubiria ufe?

Utakata tamaa kiasi kwamba hautajishughulisha kwa lolote kisa tu umefikisha miaka 40? Bahati mbaya ni kwamba kuna watu wana imani kabisa juu ya msemo huu haramu kwamba, "life starts at 40".

Henry Ford, mwanzilishi wa magari ya Ford alianzisha kiwanda cha kutengeneza magari hayo akiwa na umri wa miaka 45,hakuwa na pesa taslimu, alikuwa na mawazo tu, kupitia mawazo yake gari la Ford likatengezwa hadi kuwa kiwanda kikubwa na magari hayo kusambaa kote duniani, leo hii familia ya Ford ni matajiri wakubwa, alianza mwaka 1908,miaka 14 kabla Nyerere hajazaliwa.

Jack Weil, alianzisha biashara ya mavazi ya Cowboy akiwa na miaka 45 na alikuwa na mtaji mdogo sana, leo hii Cowboy ni maarufu pote duniani, Jack Weil amekufa mwaka 2008 akiwa tajiri mkubwa na akiwa na umri wa miaka 107.

Harland Sanders, akiwa na umri wa miaka 62 alistaafu kazi akiwa na mafao kidogo Sana, alichanganyikiwa kabisa akataka kujiua, alikuwa na hali ngumu mno kimaisha. Baadaye alipata wazo la kukaanga kuku na kuwawekea viungo vya kuvutia, na kisha akawa anawaweka kwenye makopo, alianza kuwatembeza nyumba hadi nyumba, mtaji ukakua akafungua kampuni, inayoitwa "Kentucky fried chickens "ndani ya miaka 12 alikuwa tayari ana dola mil mbili.

Mzee huyu amekufa akiwa tajiri.
929e5a8e6f7abd950c6615338669f688.jpg

Mzee Sanders enzi za uhai wake.

Kama huyu mzee aliweza inakuwaje siye vijana tunashindwa? Tunaona aibu kufanya biashara flani eti tutachekwa, huyo anayekucheka hawezi kukupa hata sh 500 ya chai.

Mwaka 2009 nilikuwa na rafiki yangu mwenyeji wa shinyanga, huyu jamaa alikuwa na miaka 48, aliishi maisha magumu sana, nyumba yake Ilikuwa ni ya tope na nyasi, baadaye Siku moja aliniambia, "Masesa, mimi pamoja na kuwa umri umeenda lakini siwezi kukata tamaa, hapa nimepata mbuga ya kulima mpunga hela tano ".

Na kweli msimu ulipofika alilima Kwa kujituma hasa, alipovuna akasubiria msimu wa mazao kupanda bei, aliuza kisha akaanzisha biashara ya duka kubwa, kila baada ya miezi kadhaa akipata faida anaongeza duka jingine, kufikia miaka miwili baadaye alikuwa na maduka 15. Alijenga nyumba nzuri sana kahama, tayari alikuwa amepata mafanikio. Bahati mbaya aliuawa na majambazi."Pumzika Kwa amani rafiki yangu Maduhu Ngeleja ".

Hakuna umri maalumu wa mafanikio, kinachomzuia mtu kufanikiwa ni ugonjwa na kifo au ulemavu basi. Zaidi ya hapo hakuna. La kuzingatia hata Kama una shida kiasi gani, tambua kuwa, hakuna usiku usio na mchana.

Naandika waraka huu siyo kwamba tayari nimeshafanikiwa, la hasha, nipo napigana kiume kutafuta mafanikio.

Naandika ili tupeane moyo kwa wale wenzangu na mimi waliokata tamaa kabisa, mara nyingi tunajifunza kwa watu waliofanikiwa na siyo walioshindwa.
Naandika waraka huu kwa wale wenzangu na Mimi tuliokata tamaa:
Kumbe na wewe ushakata tamaa.
Uko sawa mkuu hii idea ipo saana but Akili ni nywele na kila mtu anazake waache wabweteke.
 
Asante sana kwa kututia moyo mi nina 37 lakini kila siku naambiwa nimechelewa sitaweza fanikiwa katika umri huu japo moyoni nina imani kubwa ya kuwa tajiri mkubwa sana . nitamiliki biashara kubwa pamoja na mashaba na mifugo
 
Huo msemo "life starts at 40" haukuwa na lengo au maana ya kwamba ukiwa above 40 kama hujafanikiwa basi usifanikiwe. Lengo la huo msemo ni kutoa tahadhari kwa vijana kuutumia vizuri ujana wao kabla hawajatimiza miaka 40. Kijana jitahidi mambo mengi utimize kabla hujafika 40 kwani katika umri huo majukumu yanaongezeka zaidi. We fikiria from 20 to 35 upo single, huna mtoto,wengine hata wake hawana sasa kwanini usijibane angalau ukawa na kwako?Ukawekeza kwenye bizness na miradi mingine maana 40 ikifika majukumu ni mengi kuna kulea familia, kusomesha, wazazi nao hawawezi tena kutafuta inabidi wewe ndo uwaangalie. Kwa hiyo vijana wezangu tujitahidi tupambane tutimize baadhi ya vitu kabla 40 haijafika, na wale ambao sasa wapo at 40 lakini bado ni giza wasikate tamaa waendelee kupambana nuru itapatikana tu.
 
Wakuu salamu.

Ipo imani mbaya sana miongoni mwetu vijana, imani iliyopofusha akili zetu na kutufanya tuamini ujinga usio na kichwa wala miguu, imani ya kivivu kabisa na imani yenye roho ya mauti ndani yake.

Ya kwamba, kijana ukifikisha umri wa miaka 40 na bado unateseka kimaisha, yaani huna pa kulala na kula yako ya taabu sana basi kamwe huwezi kufanikiwa tena kimaisha.

Wakuu, imani hii ni ya kijinga kuliko ujinga wenyewe.

Kwanza kabisa nataka kuwaweka wazi ya kwamba, mafanikio namba moja hapa duniani ni "Afya ", kuwa na afya ndo baraka za kwanza kabisa ambazo Mungu humjalia mwanadamu.

Huwezi kuwa na mabilioni ya pesa benk halafu upo hospitali miaka mitatu umelazwa unaumwa ugonjwa ambao hauna tiba halafu ukawa na amani na au ukaifurahia pesa yako.Kiuhalisia maskini atakuwa na amani na furaha kuliko wewe Tajiri.Sasa twende kwenye mada.

Swali nalowauliza na ningependa sana wanijibu wanaosema kwamba ukifikisha miaka 40 huwezi tena kufanikiwa, nataka wanijibu, Kwa hiyo ukifikisha miaka 40 hujafanikiwa utakaa na kusubiria ufe?

Utakata tamaa kiasi kwamba hautajishughulisha kwa lolote kisa tu umefikisha miaka 40? Bahati mbaya ni kwamba kuna watu wana imani kabisa juu ya msemo huu haramu kwamba, "life starts at 40".

Henry Ford, mwanzilishi wa magari ya Ford alianzisha kiwanda cha kutengeneza magari hayo akiwa na umri wa miaka 45,hakuwa na pesa taslimu, alikuwa na mawazo tu, kupitia mawazo yake gari la Ford likatengezwa hadi kuwa kiwanda kikubwa na magari hayo kusambaa kote duniani, leo hii familia ya Ford ni matajiri wakubwa, alianza mwaka 1908,miaka 14 kabla Nyerere hajazaliwa.

Jack Weil, alianzisha biashara ya mavazi ya Cowboy akiwa na miaka 45 na alikuwa na mtaji mdogo sana, leo hii Cowboy ni maarufu pote duniani, Jack Weil amekufa mwaka 2008 akiwa tajiri mkubwa na akiwa na umri wa miaka 107.

Harland Sanders, akiwa na umri wa miaka 62 alistaafu kazi akiwa na mafao kidogo Sana, alichanganyikiwa kabisa akataka kujiua, alikuwa na hali ngumu mno kimaisha. Baadaye alipata wazo la kukaanga kuku na kuwawekea viungo vya kuvutia, na kisha akawa anawaweka kwenye makopo, alianza kuwatembeza nyumba hadi nyumba, mtaji ukakua akafungua kampuni, inayoitwa "Kentucky fried chickens "ndani ya miaka 12 alikuwa tayari ana dola mil mbili.

Mzee huyu amekufa akiwa tajiri.
929e5a8e6f7abd950c6615338669f688.jpg

Mzee Sanders enzi za uhai wake.

Kama huyu mzee aliweza inakuwaje siye vijana tunashindwa? Tunaona aibu kufanya biashara flani eti tutachekwa, huyo anayekucheka hawezi kukupa hata sh 500 ya chai.

Mwaka 2009 nilikuwa na rafiki yangu mwenyeji wa shinyanga, huyu jamaa alikuwa na miaka 48, aliishi maisha magumu sana, nyumba yake Ilikuwa ni ya tope na nyasi, baadaye Siku moja aliniambia, "Masesa, mimi pamoja na kuwa umri umeenda lakini siwezi kukata tamaa, hapa nimepata mbuga ya kulima mpunga hela tano ".

Na kweli msimu ulipofika alilima Kwa kujituma hasa, alipovuna akasubiria msimu wa mazao kupanda bei, aliuza kisha akaanzisha biashara ya duka kubwa, kila baada ya miezi kadhaa akipata faida anaongeza duka jingine, kufikia miaka miwili baadaye alikuwa na maduka 15. Alijenga nyumba nzuri sana kahama, tayari alikuwa amepata mafanikio. Bahati mbaya aliuawa na majambazi."Pumzika Kwa amani rafiki yangu Maduhu Ngeleja ".

Hakuna umri maalumu wa mafanikio, kinachomzuia mtu kufanikiwa ni ugonjwa na kifo au ulemavu basi. Zaidi ya hapo hakuna. La kuzingatia hata Kama una shida kiasi gani, tambua kuwa, hakuna usiku usio na mchana.

Naandika waraka huu siyo kwamba tayari nimeshafanikiwa, la hasha, nipo napigana kiume kutafuta mafanikio.

Naandika ili tupeane moyo kwa wale wenzangu na mimi waliokata tamaa kabisa, mara nyingi tunajifunza kwa watu waliofanikiwa na siyo walioshindwa.
Mkuu umeandika FACTS,nzuri zaidi umeambatanisha mifano hai,utafiti ndio kitu pekee kinachoweza kukupa jeuri ya kuliongelea jambo katika hadhara,binafsi nna msimamo kama wako ila naomba niongeze kidogo katika neema adhimu za mwenyezi mungu ambazo kama mja akizitumia vizuri anaweza kusonga mbele bila kujali yuko katika umri gani...Umetaja afya na cha pili ni UHURU.AFYA na UHURU ndio makubwa kwani kama ulivyoongelea Afya,pia hata uwe milionea lakini upo jela ni ngumu kusonga mbele,au pawepo na mtu wa kukulazimisha ufanye anavyotaka yeye ni ngumu kujitafutia mbinu za maendeleo.
 
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Una miaka mingapi (umri wako)
Nahisi upo under 18,mtu mwenye akili timamu na mtu mzima hawezi kuwa mtumwa wa fikra, eti USA baby.... wewe ni Mmarekani?
Ipende nchi yako bwana, sema Tanzania baby.... Hakuna mmarekani aliyewahi kuishi taifa jingine ukamkuta anasema Rwanda baby.... au Namibia baby... Kuwa mzalendo Kwa taifa lako, sijui Kwa nini maisha ya u diaspora yanawavuruga akili kiasi hicho, huo ni ulimbukeni mkuu, badilika.

USA baby...all day everyday.
 
Back
Top Bottom