Mwanzo nilikuwa napenda kweli kupima HIV , sasa hivi nimekuwa mwoga sio kwamba nacheza rafu ila nimekuwa mwoga tu... huwa najisemea kama ninao dalili zitajionyesha tuWaathirika wanavyokuaga wazuri wewe tena wanapendeza hawana ndonya
Wachache mno sijui ,,Waathirika wanavyokuaga wazuri wewe tena wanapendeza hawana ndonya
Teh teh, tena vipimo siku hizi sio hadi ukeshe kusubiria vipimo..Sikutishi ukiona demu kababuka mdomo kimbia au pimeni kwanza
Kuna wakati nilifanya kazi na mtoto ambae ni HIV+. Yule mtoto alizaliwa na ugonjwa na alikuwa na matatizo mengi sana, siku ninaonyeshwa mama yake alikuwa mrembo amebeba designer handbag, kiatu kirefu na makucha ya extension. Huwezi kumjua sasa mkikutana na hao wanaowaka msipime nendeni nao tuSi huyu mama sabrina anatutisha.
Nimekupenda bure, imagine lijanaume linanyonya K, shit kabisaMuhurumie mwenzio. kwa nini unamnyonyesha hiyo kitu?? Anachukua bacteria anawapeleka mdomoni na tumboni pasipo mahali pake kabisa, utamsababishia madhara baadae kama sio kesho wewe Mama Sabrina
Sina haja tena ya kwenda hospitali nasubiri uje unihisiHapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
Usiogope bwana wewe ni mwanaumeMwanzo nilikuwa napenda kweli kupima HIV , sasa hivi nimekuwa mwoga sio kwamba nacheza rafu ila nimekuwa mwoga tu... huwa najisemea kama ninao dalili zitajionyesha tu
Nikucheza kwa makini kwa kweli,Kuna wakati nilifanya kazi na mtoto ambae ni HIV+. Yule mtoto alizaliwa na ugonjwa na alikuwa na matatizo mengi sana, siku ninaonyeshwa mama yake alikuwa mrembo amebeba designer handbag, kiatu kirefu na makucha ya extension. Huwezi kumjua sasa mkikutana na hao wanaowaka msipime nendeni nao tu
Mi ninaowaonaga wanakuwa tayarii kabisa wanao,,kuna wengine wako poa,cha muhimu kupima tuNikucheza kwa makini kwa kweli,
Ugonjwa hauna Chale wala ndonya kama ulivyosema
Kabisa,Mi ninaowaonaga wanakuwa tayarii kabisa wanao,,kuna wengine wako poa,cha muhimu kupima tu
Kwahiyo tukipima unanipa mzigo?Mara kibao tu,,mim hata sasa ukija tunapima tu
Hahahahahahah90% ya Vijana wa UVCCM wamebabuka midomo, ila wao ni kwasababu ya piwa.
90% ya Vijana wa UVCCM wamebabuka midomo, ila wao ni kwasababu ya piwa.