Ndugu fahamu kuwa hapa kwetu wapo. Mikoa ya kusini hakuna kisicholiwa huko.Nasikia na wale jamaa wa kwenye misitu minene pale Zaire wanakula sana Nyama za Watu, Ila hawalani wao kwa wao bali wakimuona mtu mrefu.
Kwa sababu wao mtu mrefu ni Kiumbe cha Ajabu.
Unauhakika na hayo uyasemayo?Watanzania kwa ustaarabu, angalau tunaweza tukaonekana
Sidhani km Kuna mtanzania anakula maiti
na wamanyema piaWANYAMBO WANAHUSIKA.!!
Hapana kigoma hawana tabia hiyo.na wamanyema pia
Sio kweli hatana wamanyema pia
Kula nyama ya kawaida kama ngombe mbuzi n.k.Nyama ya nini[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji779] [emoji779]
Aaah!!! Aisee!! Kat ya thread zote hii imeniharibia siku..Nasikia eti tamu sana [emoji144] [emoji23] [emoji85]
Duu.. Imekaa njema Sana japo naelewa fika wengi hawatakubaliana nawe kwakuwa hawakuzoea kuukabili na kuukubali ukweliMimi sioni tofauti ya kumla ng'ombe na kumla mtu. kama ni ukatili ni ule ule kumla binadamu na mnyama! kwanini kula nyama ya binadamu muone tatizo ila kula wanyama ndo sahihi. Huo ni ukatili tu, tangu mwanzo nyama haikuruhusiwa kuliwa na binadamu bali ni uvumbuzi wa mwanandamu, binadamu anatakiwa ale mboga na matunda tu na sio nyama! ndo maana tumepungukiwa na ufahamu na afya bora na kuleta curse kwenye miili hii sababu ya nyama.
Conclusion: kula nyama ya binadamu ni ku advance kwenye ulaji wa nyama
Kama ilivyo kwenye vileo, unaanza kidogo kwa kula confectionaries, then una advance kidogo kidogo hadi kwenye drugs.
Hata u sodomy unaanza na kutoridhika na kawaida sasa una advance huko kwingine.
Ni wakati muafaka wa kuwaacha wanyama nao waishi. Acheni kula nyama.