Watu wakorofi hupata wapenzi haraka zaidi

Watu wakorofi hupata wapenzi haraka zaidi

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Ila watu wakorofi hupata wapenzi haraka zaidi kuliko wale Wapole. Nikichukulia mfano hata mimi wakati nasoma Secondary nilikua napasua kitu kilicho ni influence ni girls ili nisionekane lofa. Nikajua ukishakuwa clever na unapasua darasani girls kama wote ila sasa jamaa zangu ambao walikuwa hawana muda na kitabu ndo walikuwa wanaopoa magirls Kama wote.

Mimi nilikua nikikaa nao hao girls ni kuongea issues kuhusu studies Ila nilijiuliza sana why? Tena mpaka wale ambao walikuwa wakorofi ndo walikuwa wanaopoa vyomboz tena girls wenye akili.

Basi jamaa zangu wana vyomboz alafu wananiambia si tungekua clever kama wewe tungeopoa Sana mademu we sema hujui.
 
Ng'ombe mzoefu ndie anaehitajika kwenye shughuli za kilimo. Ng'ombe ananyoosha msingi anapiga kooom mwenyewe anakata na kufukia kwenye visiki anasimama na kumsubiri mshika jembe mambo yanajipa.

Hata makahaba hupata wateja wengi licha ya watu hao kujua kuwa wanajiuza you know why? Ni ng'ombe wazoefu. Ukimya na utakatifu wa mtu hupunguza uzoefu kwenye uwanja what's why watu wanataka watukutu ili wayafaidi ya uvunguni.
 
kuna jamaa tulisoma wote chuo dodoma, ni mtukutu. kuna siku alileta msichana chumbani , yule binti alimwaga mavi kitandani. Jamaa alitangaza na chuo kizima walijua. siku chache baadaye akwa na msicha mwingine na baadaye mwingine.

Naam, hawa ndio huja kuwa wife material kwa hawa jamaa wapole. Ptuuuu!!!!
 
Piga vyomboz mkuu achana na habar za kale[emoji16][emoji23][emoji38]
 
Anapambania Trophy points ...nasikia unaweza zibadilisha kuwa hela.
Lipa kwa Trophy points.
Amna wala sifanyi kwa trophy points ndo kwanza mgeni sijaijua vizuri JF nafanya tu for passion
Napenda tu kuangalia maoni ya watu katika hoja mbalimbali siko kimaslahi
 
Ipo sababu.. ladies wanapenda mtu mcheshi na tabia fulani hivi za u sanguine so kuwa mchangamfu Kuna kuwa rahisi sana kuwashawishi na kuwa nao pamoja n.k hivyo kunakufanya kupata wepesi wa kuweza kuwatongoza n.k
Ukiwa sana serious wanakuogopa ila sio kwamba hawawezi kukupenda no wanaweza tena kwa wingi Sana tu ila kuwa approach na wewe inakuwa nguma sana!!.. unavyojichukulia ndivyo wanavyokuchukulia!.
Unakuta uko very serious na kusoma wee sasa hapo ndugu si watakuogopa tu.. hizi ni hulka tu mkuu sio kwamba ni kanuni wapo wapole na ni viwembe vya kuotea mbali..😅
 
Ipo sababu.. ladies wanapenda mtu mcheshi na tabia fulani hivi za u sanguine so kuwa mchangamfu Kuna kuwa rahisi sana kuwashawishi na kuwa nao pamoja n.k hivyo kunakufanya kupata wepesi wa kuweza kuwatongoza n.k
Ukiwa sana serious wanakuogopa ila sio kwamba hawawezi kukupenda no wanaweza tena kwa wingi Sana tu ila kuwa approach na wewe inakuwa nguma sana!!.. unavyojichukulia ndivyo wanavyokuchukulia!.
Unakuta uko very serious na kusoma wee sasa hapo ndugu si watakuogopa tu.. hizi ni hulka tu mkuu sio kwamba ni kanuni wapo wapole na ni viwembe vya kuotea mbali..[emoji28]
Yeah umenena mkuu
 
Duh
kuna jamaa tulisoma wote chuo dodoma, ni mtukutu. kuna siku alileta msichana chumbani , yule binti alimwaga mavi kitandani. Jamaa alitangaza na chuo kizima walijua. siku chache baadaye akwa na msicha mwingine na baadaye mwingine.

Naam, hawa ndio huja kuwa wife material kwa hawa jamaa wapole. Ptuuuu!!!!
 
kuna jamaa tulisoma wote chuo dodoma, ni mtukutu. kuna siku alileta msichana chumbani , yule binti alimwaga mavi kitandani. Jamaa alitangaza na chuo kizima walijua. siku chache baadaye akwa na msicha mwingine na baadaye mwingine.

Naam, hawa ndio huja kuwa wife material kwa hawa jamaa wapole. Ptuuuu!!!!

Ilikuaje mpaka huyo mdada alimwaga mavi kitandani, jamaa alikula tigo nn? M2WAWA2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom