Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,239
- 2,015
Kiongozi wa nchi ndo mjinga nambari wani..
Naona mkuu anataka Kila Alie struggle akapata maisha tumpe PhD. Tutakuwa na taifa la wapumbavu sana. Kama qanapwnda hiyo title waende shuleKu-struggle ni jambo moja na ku-acquire academic credentials ni jambo lingine. Tusilazimishe eti kwasababu mtu amefanikiwa kiuchumi au kimaisha basi apewe academic rewards. Huo ni ujinga mwingi
Ya Babu Tale yanalia Piiiihechidiiiii...!Masikini akipata, mataco hulia mbwata