Watu wafupi na kodi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,421
Alianza Zakayo sasa ni Messi.
Jamani sitaki Hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa, kuna ajenda.
Mwakifuna wa Mbeya miaka ya 80 nae pia tunamjumuisha hapa.
Usilete kashfa, tuijadili hoja.
 
Alianza Zakayo sasa ni Messi.
Jamani sitaki Hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa, kuna ajenda.
Mwakifuna wa Mbeya miaka ya 80 nae pia tunamjumuisha hapa.
Usilete kashfa, tuijadili hoja.
Mod naomba Uzi usihamishwe jukwaa.
Mkuu.....
Jiandae kwa mashambulizi toka mrengo wa kijani aiseeee
 
zakayo mtoza kodi.
messi nae matatizo ni yale yale ya kodi.
wote wafupi hahahaaha
 
Back
Top Bottom