watu wachafu zaidi duniani: haina kuremba hiyo

watu wachafu zaidi duniani: haina kuremba hiyo

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,364
Reaction score
6,086
Ludvik+Dolezal2.jpg
Ludvik+Dolezal5.jpg

1. Ludvik Dolezal (picha juu) mwenye umri wamiaka 58 anayeishi katika mji wa Novy Bydzov, jamuhuri ya Czech inasemekana kuwa ndie mtu mchafu kuzidi wote katika bara la Ulaya.
hapa chini ni binadamu mchafu duniani. kutoka iran.Thank God zamu hii Africa haijaguswa.

2.
attachment.php

Amou Haji Mzee wa zaidi ya miaka 75, Raia wa Iran, ndio Binadamu anayeshikiria rekodi ya kuwa Mwanaume mchafu zaidi duniani.

3. Pichani chini ni Raphael Tenthani, mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi.
Aina yake ya mavazi na uvaaji wake umezua gumzo katika mitandao jamii. Ralph amezoeleka kuonekana katika mavazi ya 'hovyo hovyo', yaliyolowa, machakavu na yaliyotoboka huku viatu vikiwa vimeachama, nywele 'vululu vululu' na sura ya 'kilevi'.
Mwandishi huyu wa habari hujihudhurisha alivyo katika kazi zake mbalimbali za kuhojiana na kurusha habari bila kujali ustaarabu wa eneo husika hata ikiwa ni kwenye zulia jekundu.Wengi wanasema mkosoaji huyu mkubwa wa Serikalizote zilizoongozwa na Marais ndugu, Bingu (marehemu) na Peter Mutharika, huenda anafanya hivyo ili kutimiza masharti ya 'mganga' aliyemsaidia kupata ujasiri,akili nyingi na kazi katika shirika kubwa la utangazaji la BBC. Wanadai ikiwa atakiuka masharti hayo, huenda akapoteza kazi yake na kuwa 'juha'.
Vyovyote viwavyo, Raphael "Ralph" Tenthani bado ni mwakilishi wa BBC nchini

malawi.jpg

Tenthani.jpg

NOUMA SANA:KUTANA NA MTANGAZAJI MCHAFU ZAIDI DUNIANI_ - DAILY MAIL
sourrce:
 
C

Binafsi nadhani kati ya namba 1 wa ulaya na namba 2 wa Iran, wote ni ngoma droo. Sijaona aliyempita mwenzake. Wote wako kama takataka zilizotupwa. Ha ha ha
Dah, waulaya na Iran mimi nadhani ni wehu! Ila huyo reporter wa BBC ni kiboko! Lakini mbona huwa sioni habari zake? Natamani nione akimhoji mtu live nijue kilichomo kichwani mwake!
 
Aise huu Uzi kiboko nimecheka sana.Umefikiria nini hadi ukaleta hii topic?I wish to know what went thru ur head mpaka ukaleta uzi wa namna hii?Hakika hii ni funga mwaka bado naendelea kucheka huenda hadi mwakani.Very funny u made my day.
 
Sisi

Ha ha ha
Nilipita Instagram nikakuta watu wameweka picha wanajadili. Huyu wa BBC. Nikaona ni google kuona kama kuna ukweli kuwa BBC wamethubutu.. Nikakuta ni kweli. Kuna madai huyo anayehojiwa ni waziri..
 
Dah, waulaya na Iran mimi nadhani ni wehu! Ila huyo reporter wa BBC ni kiboko! Lakini mbona huwa sioni habari zake? Natamani nione akimhoji mtu live nijue kilichomo kichwani mwake!

Sasa hadi documents zake alizobeba mkononi huwezi fikiri kama kuna kitu cha maana ndani kwa jinsi .zilivyojikunja..
Dah! Mkewe sijui ana maoni gani?
Cc Zinduna Mshiiri et al
 
Last edited by a moderator:
Duuu...hii noma sana. Lakini mbona huyo mtangazaji anataka kufanana na Rais fulani aliyewahi kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tz, (kwa sura hivi). sasa BBC walimpaje kazi? interview alifanyaje? kwani hata uwe na akili nyingi sana, ukienda kwenye interview ukiwa mchafu, ndo imetoka
 
Hua unafikiri kupitia kona IPI? Umeambiwa masharti ya mganga yamehusika sasa swali lako si limekwisha jibiwa? Ila hapo red carpet kama bukta ya le mutuzzzz u knw!
 
Hahahahaaaaa, hapo red kuna kaukweli hivi, anafanana na Chee nkapa!
 
Hua unafikiri kupitia kona IPI? Umeambiwa masharti ya mganga yamehusika sasa swali lako si limekwisha jibiwa? Ila hapo red carpet kama bukta ya le mutuzzzz u knw!

Hahahahah....eti masharti ya mganga? mkuu, siamini kwenye ndumba. kama hauko intelligent, hard worker and disciplined hata uende kwa waganga lukuki, Haisaidii. Unachokimaanisha, ni kwamba ndumba zilifanya BBC wasiuone uchafu wa jamaa siyo? duuu...kweli hii ndo Africa. Naangalia BBC TV na Radio, lakini sijawahi kumsikia huyu jamaa...
 
Back
Top Bottom