watu wa mwanza mpooo!

watu wa mwanza mpooo!

Karibu mza sisi ndo wazawa wa bmc miaka iyooooooo,....... Napatika capripoint
 
dah,kumbe wanamza tupo kibao jf, i wish one day tumeet maeneo flan km wafanyavyo wenzetu wa dar. ama vp wakuu...
 
dah,kumbe wanamza tupo kibao jf, i wish one day tumeet maeneo flan km wafanyavyo wenzetu wa dar. ama vp wakuu...

Wazo zuri, naomba ufanye mipango ili wana mwanza tukutane.
Mgeni karibu nipo hapa Kirumba.
 
Back
Top Bottom