Watu wa Mombasa wataka kujitenga na Kenya na kurejea kwao Zanzibar

Zanzibar imeshuka sana hakuna mwelekeo wa maendeleo elimu haitiliwi mkazo, uvivu na ulalamishi wa bara kila siku umeirudisha nyuma sana. Hao wa Mombasa watarudi Kenya wakiona kinachoendelea Zanzibar
 
kiufupi ni kwamba jamii za watu wa zanzibar na mombasa wanafana kitabia na kila kitu,wa mombasa hawataweza kujitenga,ni extremists wachache tu wanaowapa taabu,ambao wengine wanalishwa ujinga na wasomali waliojazana hapo kenya
 
wazanzibari hawataki kuungana na yeyote yule
sio mombasa sio tanganyika
 
Warudi tu Zanzibar wawaachie Wakenya Mombasa yao.

Mkuu, ukifuatilia historia vizuri inasema mwambao wa africa mashariki wote ulikuwa uko chini ya Zanzibar hadi 1950.
Mombasa,Lamu,Mafia,Kilwa, Bagamoyo zote hizo ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar. Wakati huo Zanzibar haikuwa sehemu ya Tanzania. Hakukuwa na Tanzania bali Tanganyika:clap2:ndipo wazungu wakaja kuleta ushenzi wao na kuliuwa Taifa la Waswahili!!!!
Wee fikiria kwanini hiyo serikali ya wakikuyu Kenya inawabagua wamombasa, ni kwasababu wanajua kwamba hawo ni waswahili halisi, kwa mila, desturi, dini lugha hata utamaduni wao ni sawa na Wazanzibari.
Map_Swahili_400.gif
images
 
hii ilianza tangu mwaka 1997 ila kuna wasaliti ndani ya kundi lao................... je nayo hii ni THE SWAHILI UPRISING DHIDI YA WABARA ?? Je waswahili wa Tanzania nao wataibuka kama vile ilivyo katika nchi za kiarabu ??

yangu macho na kuomba salama tu.
 
kiufupi ni kwamba jamii za watu wa zanzibar na mombasa wanafana kitabia na kila kitu,wa mombasa hawataweza kujitenga,ni extremists wachache tu wanaowapa taabu,ambao wengine wanalishwa ujinga na wasomali waliojazana hapo kenya
<br />
<br />
Kwa kweli wa mombasa na wazenji wanafanana kitabia: kupenda ubwabwa na huko mabwabwa mengi mno. Ugaidi ndo usiseme.
 
Kisheria hawa jamaa wanahoja ya nguvu Zanzibar ilikuwa ni ardhi ya halali ukanda wa pwani. Kudai kuwa hawa masheikh ubwabwa ni kubeza ila time will tell mtakuja kutuambia. Sultan wa zanzibar alinunua ardhi halali kutoka kwa wazawa. Wajerumani na waingereza walimzidi kete Sultani na kudai aliwauzia wakati hawana sale agreement yeyote isipokuwa ni hiring agreement between Germany na Sultan. Ni vema mnaowabeza wajibuni basi kama mnao mkataba wa mauzo baina ya sultani na mabeberu wa kiingereza na kijerumani?
 
hao wanaobeza ni wale wanakunywa kila kitu wanachoambiwa kule kanisani na wazee wa mambo
 
wazanzibari hawataki kuungana na yeyote yule
sio mombasa sio tanganyika

Wanataka kujitenga na kila mtu ili wawezekuwa ombaomba kwa waarabu, naomba sana waingine kwenye mtego wa seif. wajitenge na Jamhuri then soon pemba inajitenga na unguja.
 
....Na Pemba wakijitenga na unguja watakimbilia kujiunga tena na Tanganyika...Ungujka watabakia peke yao watashangaa....supply zote zikikata unguja itakuja kuwa njaa bei vitu itapanda maana watakuwa wanalipa ushuru tokl bara kuvusha...fujo zikizuka kutakuwa hakutawaliki tena maana wananchi wataanza kulaumu nani alietaka tuvunje muungano!!!mawazo yangu tu ....
 
Back
Top Bottom